Hiki ni kiti cha dhahabu alichokalia Malkia Victoria wakati anaapishwa

USA ilikuwa koloni kubwa la UK, kwanini sio mwanachama wa jumuiya ya madola ?
 
Kama historia ingeweza kufutika kwa kifutio, Marekani wangeshafuta hiki kipengele cha kutawaliwa na UK.
Una maana kwa hadhi na ukubwa walionao karne hii, kujiunga na 'common wealth' ni kujishushia hadhi ?
 
Kama historia ingeweza kufutika kwa kifutio, Marekani wangeshafuta hiki kipengele cha kutawaliwa na UK.
Hahahaha....ndio hivo tena,The leading capitalists and super power nation in the world U.S.A attained her independence in 1776,, [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na mzungu alitengeneza hizi whsp insta style na the likes plus malinks kuwakamata wavivu wa kiafrika wasioependa kusoma wenye kupenda summary badala ya details.
Na anatupiga sana kwa kutoyachimba maarifa
Mbona wao wako addicted na hayo makitu kuliko sisi tena sisi tuko na poor access ya hayo matknolojia yao tuache unyonge wakujisingizia kila kitu chenye side effects kwa wanadamu kimeletwa kuwalemaza waafrika
 
USA ilikuwa koloni kubwa la UK, kwanini sio mwanachama wa jumuiya ya madola ?
Nashukuru sana hata mimi sijawahi kupata wazo la kufiria jambo hili.Pia huwa nawaza NATO kirefu chake ni Northen Atlantic Treaty Organization yaani mkataba wa muungano wa nchi zilizo Kaskazini mwa bahari ya Atlantic sasa huwa nawazaga inakuwaje nchi za ulaya ziko umoja huu lakini kiramani bahari ya Atlantic haiko kwao.Hebu ngoja nichimbe nitarudi baadae nianike majibu kwenye mkeka.Huu ndio uzuri wa JF
 
USA ilikuwa koloni kubwa la UK, kwanini sio mwanachama wa jumuiya ya madola ?
Nashukuru sana hata mimi sijawahi kupata wazo la kufiria jambo hili.Pia huwa nawazo NATO kirefu chake ni Northen Atlantic Treaty Organization yaani mkataba wa muungano wa nchi zilizo Kaskazini mwa bahari ya Atlantic sasa huwa nawazaga inakuwaje nchi za ulaya ziko umoja huu lakini kiramani bahari ya Atlantic haiko kwao.Hebu ngoja nichimbe nitarudi baadae nianike majibu kwenye mkeka.Huu ndio uzuri wa JF
 
Why USA is not part of Commonwealth?


While the USA was a part of British empire but it did not leave like other countries like Canada, new Zealand. USA Gaines independence way earlier than those countries, so when commonwealth was formed, USA had moved far away from culture, political influence of Britain, so they did not join.
 
 
Daah malkia anaishi maisha magumu sana kiroho akifahamu wengi wanasubiria kifo chake kwa hamu. Kishuhudia maandalizi ya warithi wake,akishuhudia eneo atakalozikwa.

Utajiri pekee ni Amani ya moyo.
Mkuu umewaza kiroho na kitakatifu zaidi.
 
Asante,Huu muongozo wa kifo huwa upo wazi sikuzote?na kwanini atazikwa kanisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…