Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Miaka ya nyuma kidogo Malkia / Mfalme alikua ni kiongozi mkuu wa Kanisa la Anglican.Asante,Huu muongozo wa kifo huwa upo wazi sikuzote?na kwanini atazikwa kanisani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya nyuma kidogo Malkia / Mfalme alikua ni kiongozi mkuu wa Kanisa la Anglican.Asante,Huu muongozo wa kifo huwa upo wazi sikuzote?na kwanini atazikwa kanisani?
Wewe unashangaa kiti? Umesahau chepe za dhahabu scandal aliyotoaga Mzee Mrema na milion 900 miaka ya 90 mwishoni? Nyuma ya pazia kuna vingapi vilivyo unkown?View attachment 2224792
Ilibidi miguu ya kiti itengenezwe mifupi kwasababu Malkia Victoria alikua mwanamke mfupi kwa umbo, wasingeweza kuweka miguu ya kiti mirefu na kumuacha Malkia akining’inia.
Baada ya Victoria alitawala mtoto wake Edward, nae alipokewa na mtoto wake George V aliyerithiwa na mtoto wake Edward ambae ilibidi aachie kiti baada ya kumuoa mwanamke wa Kimarekani tena aliyetalakiwa. Kitendo hiki kilisababisha Albert ambae ni baba yake Malkia Elizabeth kuapishwa kama Mfalme George wa sita.
Sasa hivi Malkia Elizabeth katika umri wa miaka 96 jua limezama na nguvu za kutawala zimemwishia. Mtoto wake Charles anajiandaa kuapishwa. Nimeona kiti cha enzi kimetolewa inawezekana kinapigwa msasa kwa maandalizi ya sherehe ya kusimikwa rasmi kwa Charles kama Mfalme.
Charles atataka miguu ya kiti iongezwe? Wakati kiti kinatengenezwa Uingereza ilikua na Madola 3/4 ya dunia, hivyo kupata dhahabu ya kutengeneza kiti cha Enzi haikua shida. Sasa hivi mambo yamebadilika. Hata dhahabu ikipatikana wana harakati watapaza sauti na kuhoji ulazima wa kutumia dhahabu kutengeneza miguu ya kiti cha Mfalme.
Na matokeo yake Mzee alifahamu kuwa hakuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu.Wewe unashangaa kiti? Umesahau chepe za dhahabu scandal aliyotoaga Mzee Mrema na milion 900 miaka ya 90 mwishoni? Nyuma ya pazia kuna vingapi vilivyo unkown?