Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

Dah!...Ila kwa miaka 8 na benki yenyewe ya kibiashara lazima riba iwe kubwa (Ila kwa hapo ni too much)

Bora ungekopa Saccos tu
 
Kwanini usingeenda NMB au CRDB?
Bayport walinifata ofisini ili wanikopeshe nilipowauliza riba ni asilimia wakaanza chenga chenga braah braah kibao,nikambananisha mmoja wao akaniambia riba ni 47% nikawafukuza ofisini.
Sidhani kama Wana tofauti!!! Kinachokuza riba ni muda utakaotumia Kurudisha mkopo! Kama ni mkopo wa mwaka mmoja mpaka mitatu, riba ni himilivu, Lakini miaka 5 mpaka 7 au 8, hapo damu kukauka hakukwepeki!
 
Riba ni asilimia 22.3 kwa miaka 8
 
Vumilia tu hauna la kuwafanya na riba ikipanda watakupiga nayo ila ikishuka hawana haja na wewe. Bado muda gani ustaafu kwa hiyari?
 
Kwanza mkataba huwa hawatoi na ukienda kudai hawakupi. Hii ni karibia bank zote.

Mkuu una miaka 8 ya kuishi kama shetani.
 
Hii mikopo ndo chazo Cha walimu kutokuudhuria vipind darasan,, coz akiwaza Hela atakayopokea Kwa mwez hata laki haifiki kwasababu ya mikopo anaona Bora awe anashinda shamba au ktk shughuli nyngine ili imwingzie kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…