Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

Hivi mabenki kama CRDB,NMB,NBC, Postal bank huwa mhazioni mnaenda kukopa vibenki gani hivi?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe ni mwalimu, na unafanya mambo kama hujaenda shule, wanafunzi wako tufanyeje?
 
Mpwayungu village aione kwenye jalada
 
Acha dharau umbumbumbu wa fedha ni swala la mtu binafsi na watanzania walio wengi hawana elimu ya fedha usionee walimu eti kisa walimu wanaonekana kirahisi sababu ya wingi wao
 
I love you murembo ❤️
 
Safi sana tukiwaambia walimu ni wapumbavu na akili hawana na kuelewa vitu hawaelewi hii ndiyo yenyewe,
Use ur common sense upumbavu wa mtu hauna uhusiano na kazi anayofanya ,hivi inamaana wewe leo hii ukishaajiriwa kua mwalimu ndio automatically unakua mpumbavu? au upumbavu ni suala la mtu binafsi ,kuna watu wangapi leo hii ni wabunge,mawaziri na viongozi wa makampuni na taasisi mbalimbali ambao walikua walimu,matatizo ya watanzania wengi yanafichwa kwenye mgongo wa walimu sababu ya wingi wao,mbona nakutana na watumishi wa afya mbalimbali wasiokua na ujuzi wa masuala ya fedha? hao tuwaongelee vp nao usiwe na falacy of generalization
 
Watanzania ni wavivu sana kusoma..yaani ukiwapa karatasi yenye maandishi ni kama umewapoteza
Ndugu mkopaji kama ungesoma document ya masharti kabla ya kupewa mkopo usingekuja na uzi humu...pole ila pambana ulipe maana tayari umeshapewa mshiko.
 
Utakuwa umetop up wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…