Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Na hapo ukute mkopo haujatimiza lengo umetumika ndivyo sivyo
😁😃😅😅😀😄😄😀😅Safi sana tukiwaambia walimu ni wapumbavu na akili hawana na kuelewa vitu hawaelewi hii ndiyo yenyewe,
Hata wewe akili huna unakopaje Hela harafu unalipa zaidi ya Hela uliyokopa ety? Ungekuwa karibu yangu ungekula vibaoMmi nikichukua mkopo Kwa succoss 4ml Kwa maika 2 full burudan
Nakatwa 197470 per month
At the end ntalipa 4.75m
Benki gani hizoNimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744878
Anayeweza kukukopesha pesa bila riba yeyote ni mamako tu.Hata wewe akili huna unakopaje Hela harafu unalipa zaidi ya Hela uliyokopa ety? Ungekuwa karibu yangu ungekula vibao
Ulitaka akope mil 4 kwa miaka 2 halafu arudishe hiyo hiyo mil 4?Hata wewe akili huna unakopaje Hela harafu unalipa zaidi ya Hela uliyokopa ety? Ungekuwa karibu yangu ungekula vibao
Mkuu, mimi nafikiri huyu mtu anapaswa kuhurumiwa aiseee, pamoja na kwamba makosa ni yakeSafi sana tukiwaambia walimu ni wapumbavu na akili hawana na kuelewa vitu hawaelewi hii ndiyo yenyewe,
Haelewi maisha huyu Bado dogo, anakupa ugali wa shikamoooulitaka akope mil 4 kwa miaka 2 halafu arudishe hiyo hiyo mil 4?
Nakubaliana na wewe hayo majamaa yanaitwa PLATNUM CREDIT ni matapeli haswa. Yana kauli ya kuvutia wateja ukiingia kwenye 18 zao utajua hujui. Nawaombeni ndugu zangu msije mkaingia kwenye mkenge wa kukopa haya matapeli.Kila siku tunatoa ushauri humu acheni kukopa kwenye taasisi uchwara za kifedha hamsikiii..hawa ABC,Platinum sijui..Bayport ni kausha damu haswa..