Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaona hicho ni kitu cha kawaida?Kwamba huu nao ni uzi?🤔
Hapana sio cha kawaida kabisa😆Wewe unaona hicho ni kitu cha kawaida?
Sorry mkuu mechi ya Leo au lini,?
Basi ulikuwa huangalii mpiraSorry mkuu mechi ya Leo au lini,?
Je umeangalia kweli mpira au umesimuliwa?
Maana sijaona kitu kama hicho Leo.
Lakini kama kaqaida yako na LIKE umempa!!😆 hawa mimi huwa nawapa dislike moja matataKwamba huu nao ni uzi?🤔
Jitahidi umiliki akili na pia ufatilie mpira. Kama kuutoa nje mpira hata ulaya hufanya hivyo ni kitu cha kawaida tu
😆😆😆 Hata simbaMm yanga damu
Ila yanga wachawi
Leta mechi moja ya UlayaJitahidi umiliki akili na pia ufatilie mpira. Kama kuutoa nje mpira hata ulaya hufanya hivyo ni kitu cha kawaida tu
Mkuu! Kwa hiyo ni bora wangeanza kwa kufunga au sio?
Utakuwa una tatizo gorofani
Hakuna kitu kinaitwa Yanga damu bali kipo kiitwacho Yanga SC au Young Africans, Kolowizard Mwandamizi wewe.Mm yanga damu
Ila yanga wachawi