Hiki ni nini wana Yanga ?

Hiki ni nini wana Yanga ?

Hakuna kocha anayefundisha kwamba mpira wa kwanza upigwe nje. Ni ushirikina tu, maelekezo ya sangoma. Comments tofauti na hii ni kujizima data tu
Ili usiwe Ushirikina mpira unatakiwa utoke nje baada ya dakika ngapi?
 
Hao wazee wamebakia kuchanja chale tuu😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom