Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Hujawahi kuona hata Mpambe wa Rais wetu alikuwa anabeba briefcase 💼 tajwa? Jaribu kufuatilia picha Z nyuma kidogo.
Alaa, mie nilidhani wa kwetu ni ma faili ili kila akipata muda asome kupunguza muda anaopoteza usiku kupekua mafaili
 
Hapa Jamiiforum, kati ya watu wenye mada za kufikirisha ubongo na zenye kuhitaji tafakuri ya kina ni GENTAMYCINE.

Uzi waako nimeuelewa baada ya kuurudia zaidi ya mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ningeshangaa sana kama mmoja wa ' Geniuses ' ninaowakubali hapa JamiiForums Wewe usingeuelewa huu ' Uzi ' wangu.
 
Mbona walinzi wa Raisi jpm wanazo hizo briefcase hizo unazosema wanabeba wawili angalia tukio la upokeaji wa ndege mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unasema kweli? Kumbe hata Walinzi wa Rais Dkt. Magufuli nao wanazo? Basi nimefurahi sana kulijua na kulisikia hili hivyo kuanzia leo nitaacha sasa Kuwakodolea / Kuwaangalia hao Walinzi wa hizo nchini Tajwa pale juu na nitajikita zaidi katika Kuwaangalia hawa Walinzi wa Rais wangu Mpendwa wa Tanzania.

Ila Mkuu unasema kweli au unanitania labda?
 
Mambo mengine ni vigumu kuyajadili, yaani mtanzania anajadili kilichomo kwenye briefcase inayobebwa na walinzi wa rais wa Marekani au Urusi?

Hahahaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na protokali za kiulinzi,walinzi wa rais hawawezi fuata matakwa ya raia wake(maana haifahamiki umenuwia nini).

5/5.

Rais wa wapi labda Puerto Rico au Nicaragua?
 
Umeona rahaaa kama unamiliki busha vile kumbe wapi unamiliki kapumbu kadogo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize Jasusi Yericko Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute kwako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mada zako nazielewa vema na nimeamua kujibu bila lugha ya kuzunguka. Kwani ni kosa kujibu usivyo taka mkuu hadi kunitishia kunijibu majibu gani sijui???
 
Kwa sababu ulizozitaja hapo namashaka na weledi wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…