GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Labda niweke ya Shangazi yako / Mjomba wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaa, mie nilidhani wa kwetu ni ma faili ili kila akipata muda asome kupunguza muda anaopoteza usiku kupekua mafailiHujawahi kuona hata Mpambe wa Rais wetu alikuwa anabeba briefcase 💼 tajwa? Jaribu kufuatilia picha Z nyuma kidogo.
Hapa Jamiiforum, kati ya watu wenye mada za kufikirisha ubongo na zenye kuhitaji tafakuri ya kina ni GENTAMYCINE.
Uzi waako nimeuelewa baada ya kuurudia zaidi ya mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona walinzi wa Raisi jpm wanazo hizo briefcase hizo unazosema wanabeba wawili angalia tukio la upokeaji wa ndege mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na protokali za kiulinzi,walinzi wa rais hawawezi fuata matakwa ya raia wake(maana haifahamiki umenuwia nini).
5/5.
Umeona rahaaa kama unamiliki busha vile kumbe wapi unamiliki kapumbu kadogo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumuelewa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE hasa kwa ' Mabandiko ' yake hapa Jamvini / Jukwaani JamiiForums yakupasa utulize Kwanza akili zako, utafakari na uhakikishe kuwa ' Upstairs ' zimekutosha kabisa na zipo kamili. Siku zingine ukiona tu nimeanzisha ' Mada ' acha Kwanza kuharakisha ' Kukurupuka ' nazo na kuwahi Kujizibu bali jitulize Kwanza. Naomba niishie hapa tafadhali.
Muulize Jasusi Yericko NyerereSijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.
Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?
Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.
Nawasilisha.
Salute kwako mkuuMkuu unasema kweli? Kumbe hata Walinzi wa Rais Dkt. Magufuli nao wanazo? Basi nimefurahi sana kulijua na kulisikia hili hivyo kuanzia leo nitaacha sasa Kuwakodolea / Kuwaangalia hao Walinzi wa hizo nchini Tajwa pale juu na nitajikita zaidi katika Kuwaangalia hawa Walinzi wa Rais wangu Mpendwa wa Tanzania.
Ila Mkuu unasema kweli au unanitania labda?
Wanaosoma mada zaako kama wasomavyo gazeti la TANZANITE wataishia kusema weka pichaNingeshangaa sana kama mmoja wa ' Geniuses ' ninaowakubali hapa JamiiForums Wewe usingeuelewa huu ' Uzi ' wangu.
Mkuu, mada zako nazielewa vema na nimeamua kujibu bila lugha ya kuzunguka. Kwani ni kosa kujibu usivyo taka mkuu hadi kunitishia kunijibu majibu gani sijui???Kuna mahala popote pale katika huu ' Uzi ' wangu ama umemtaja Rais Dkt. Magufuli au Kikosi chake cha Ulinzi? Hivi ni kwanini baadhi ya Watanzania mnakuwa na tabia za ' Kike Kike ' za kuwa na Kiherehere kama siyo Kimbelembele? Tena nimeweka hapo juu hadi mifano ya Nchi ambazo Marais wake Walinzi wao wanabeba hizo ' Briefcases ' je umeona nimeitaja hapo Tanzania? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibu Kunya / Hovyo / Shombo halafu mnalalamika.
Umejuaje kwamba namna anavyolindwa kwa sasa siyo bora?Wewe wasema! Mimi natamani namna bora zaidi kumlinda kiongozi wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha siyo kama wasomavyo chapisho la sani mkuu...?Wanaosoma mada zaako kama wasomavyo gazeti la TANZANITE wataishia kusema weka picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora sani inajulikana ni ya UdakuHahaha siyo kama wasomavyo chapisho la sani mkuu...?