Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Hawa wa kwetu Vipi wakiazima briefcase toka Rwanda kwa role model wa Jiwe.
 
Kama kweli Jiwe anapendwa na analindwa kwa nguvu ya maombi "ya mniombee" mbona kajaza askari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Rais Magufuli angependwa kwa 99.99% katika kundi la 00.01% kuna wanao mchukia. Olaf Palme, Waziri Mkuu kipenzi cha wengi Sweden aliuawa kwa risasi kwenye mitaaa ya Stockholm wakati akitembea kwenda senema pamoja na mke wake. Tangu wakati huo ulinzi wa viongozi Sweden umebadilika.
 
Mbona kipo kama miez 4 sasa humuoni jamaa anabeba anakuwa jiran kdg na wale walinz 3 wa karibu kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua namba? Je hii 00.01 ni namba ngap kwa maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Briefcase za wezetu wanaweka mfumo wa usalama kwa rais.
Ila
Briefcase Zetu sisi tunaweka pesa za kuwapa wageni waalikwa.
 
Mkuu, mada zako nazielewa vema na nimeamua kujibu bila lugha ya kuzunguka. Kwani ni kosa kujibu usivyo taka mkuu hadi kunitishia kunijibu majibu gani sijui???

Kwani hata kama umenielewa ' Ukiuchuna ' tu utapungukiwa nini? Acha ' Uswahili ' tafadhali sawa? au unadhani Watu ( Members ) wengine hapa Jamvini / Jukwaani hawajaelewa ' Kilichokusudiwa ' kama siyo ' Kulengwa ' hapo na badala yake ni Wewe tu pekee ndiyo umeng'aumua?
 
Mkuu unajua namba? Je hii 00.01 ni namba ngap kwa maneno

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha ha ha ha ha ha....Mkuu hii ' post ' yako imenifanya nicheke hadi Abiria Wenzangu wa DalaDala ya Gongo la Mboto Ubungo SIMU 2000 wamenishangaa na baadae na Wao wakawana wananisindikiza Kucheka na sasa tunacheka wote hapa. Shikamoo JamiiForums ndiyo maana niko radhi nikose vitu vyote ila siyo huu Mtandao wangu ' pendwa ' kwani hapa kuna ' Vituko ' vingi sana tu kutoka kwa ' Members ' mbalimbali.
 
Umeeleweka ila piga hatua moja zaidi , ni kwa nini sasa ?
Nahisi ni sababu za ulinzi tu, kivipi sijui. Hzo briefcase wakibeba zinakuwa zimemuweka kati Mheshimiwa na kama anahutubia hata masaa mawili mfululizo wabebaji huwa hata hawajikuni, wanasimama attention mwanzo mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…