VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Wahusika wanajua nilichoshauri, Wewe to a maoni yako ama potezea. Soma mada changia wazo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahusika wanajua nilichoshauri, Wewe to a maoni yako ama potezea. Soma mada changia wazo lako.
Hata Rais Magufuli angependwa kwa 99.99% katika kundi la 00.01% kuna wanao mchukia. Olaf Palme, Waziri Mkuu kipenzi cha wengi Sweden aliuawa kwa risasi kwenye mitaaa ya Stockholm wakati akitembea kwenda senema pamoja na mke wake. Tangu wakati huo ulinzi wa viongozi Sweden umebadilika.Kama kweli Jiwe anapendwa na analindwa kwa nguvu ya maombi "ya mniombee" mbona kajaza askari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kipo kama miez 4 sasa humuoni jamaa anabeba anakuwa jiran kdg na wale walinz 3 wa karibu kabisa?Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.
Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?
Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.
Nawasilisha.
wa huku akibeba begi litakuwa na zile senti za kuhongahonga njianiHujawahi kuona hata Mpambe wa Rais wetu alikuwa anabeba briefcase [emoji161] tajwa? Jaribu kufuatilia picha Z nyuma kidogo.
Mkuu unajua namba? Je hii 00.01 ni namba ngap kwa manenoHata Rais Magufuli angependwa kwa 99.99% katika kundi la 00.01% kuna wanao mchukia. Olaf Palme, Waziri Mkuu kipenzi cha wengi Sweden aliuawa kwa risasi kwenye mitaaa ya Stockholm wakati akitembea kwenda senema pamoja na mke wake. Tangu wakati huo ulinzi wa viongozi Sweden umebadilika.
Nuclear code briefcase!
Wanaosoma mada zaako kama wasomavyo gazeti la TANZANITE wataishia kusema weka picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mada zako nazielewa vema na nimeamua kujibu bila lugha ya kuzunguka. Kwani ni kosa kujibu usivyo taka mkuu hadi kunitishia kunijibu majibu gani sijui???
Hata wa kwetu wanabeba briefcase. Fatilia vizuri utaona. Mmoja huwa kushoto mwingine kulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wa kwetu wanabeba briefcase. Fatilia vizuri utaona. Mmoja huwa kushoto mwingine kulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ni sababu za ulinzi tu, kivipi sijui. Hzo briefcase wakibeba zinakuwa zimemuweka kati Mheshimiwa na kama anahutubia hata masaa mawili mfululizo wabebaji huwa hata hawajikuni, wanasimama attention mwanzo mwisho.Umeeleweka ila piga hatua moja zaidi , ni kwa nini sasa ?
Usijari Mkuu, umeongeza siku za kuishi kama wahenga wasemavyoHa ha ha ha ha ha ha....Mkuu hebu ' spare my ribs ' basi!