Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Hicho kitakuwa kile bashite alichotumwa kwa sangoma
 
".....hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi."

Ha ha ha ha! yanyukweee..,,,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evon e Mkamila
Kuanzia mwaka *196O* hadi Leo hii, Marais wote wa Marekani wamekuwa *wakiambatana* na mlinzi ('boardguard') maalum ambaye huwa anabeba mkoba, yaani *('briefcase')*.
Briefcase hii ni *shurti* iwe karibu na rais popote pale anapokuwa, hivyo ni wajibu wa mlinzi huyu kuwa sambamba na Rais popote pale anapoenda.
Briefcase hii imepewa jina la *'the football'*
Sasa Ili kufahamu 'the football' inabeba nini, na ni kwa ajili ya nini, naomba ufuatane nami katika makala haya.
***
Katika kile kinachojulikana kama *uhasama* kati ya mataifa ya kikomunisti na mataifa ya kibepari al maarufu kama *"vita baridi"* Dunia imekua ikishuhudia ugomvi wa kisiasa, kiuchumi, na kijeshi baina ya pande hizo mbili huku kila upande ukijidhatiti kujilinda dhidi ya mwingine.
Marekani ikiwa ndio kinara kwa upande wa mataifa ya kibeberu huku muungano wa usovieti kwa upande wa Mataifa ya kikomunisti *(capitalist vs socialist blocks)*
Katika kipindi chote cha vita baridi, muungano wa nchi za kisovieti, *(USSR)* walikua wanawaunga mkono nchi ya Cuba, na hivyo mwaka 1962 waliamua kutega *makombora* ya nyuklia ya masafa ya kati, nchini humo *(cuba)*, hali iliyozusha mvutano mkubwa na kuisogeza dunia karibu kabisa na kulipuka kwa *vita vya kinyuklia.*
Mara tu Baada ya Marekani kubaini uwepo wa makomboa hayo, Rais wa marekani kwa wakati huo *John F. Kennedy* akapatwa na wasiwasi kwamba huenda siku yeyote na muda wowote USSR wanaweza kufanya shambulio la nuclear dhidi ya ya nchi yake, na ukizingatia makombora hayo yametegwa nchini Cuba jirani kabisa na Marekani.
Hivyo katika kujilinda na kujihami dhidi ya shambulio hilo, Kennedy akatoa maagizo kwenda kwa idara ya ulinzi ya marekani *'Pentagon'*, kuuandaa mfumo unaomuwezesha rais anapokuwa mahala popote kufanya shambulio la nyuklia kwa nchi maadui na ndani ya sekunde moja tuu.
Ndipo jeshi likatengeneza kitu ambacho kilimuwezesha rais kufanya shambulio tuu kwa *'kubonyeza kitufe*'. (only by just pressing the button).
Na kitu hiko kilijulikana kama *"The football"* au wengine huita majina mbalimbali kama vile *the nuclear button;*, 'Nuclear football'; 'the button'; 'presidential emergency button'; au 'emergency satchel'; *n.k*
Ifahamike kwamba leo hii, *Marekani* ikitaka kufanya shambulizi la silaha za nyuklia ni shurti Amri itoke kwa Rais.. yaani Rais ndiye mtu pekee wa *kuidhinisha* shambulizi hilo, na si mtu mwingine.
Hapa Nitaeleza ni kwanini ipo hivyo.����
wazo la kumfanya rais kuwa ndiye *mtu wa pekeee* wa kutoa amri kuhusu kufanya shambulizi la kinyuklia, lilikuja kufuatia nchi ya Marekani kudondosha mabomu ya nyuklia huko *Hiroshima na Nagasaki* nchini Japan, mabomu ambayo kwa hakika ndiyo yalizima Vita ya pili ya dunia mnano *mwaka 1945*
Katika shambulizi hilo, Rais yaliyekuwa madarakani *Harry Truman* aliitaka marekani itatumia silaha za nyuklia katika vita ya pili ya dunia *ila* hakutaja 'specifically' ni siku ipi au muda upi na mahala gani mabomu hayo yatumike, lakini badala yake maamuzi hayo yalifanywa na jeshi, na kisha yeye akaoneshwa tuu mpango mkakati. Yaan kwa maneno mengine niseme kuwa Rais hakuwa na maamuzi ya mwisho kuhusu Shambulizu hilo la *Hiroshima na Nagasaki, Japan*
Siku mojà baàda ya kumalizika kwa mashambulizi ya nagasaki na Hiroshima, rais, *Truman* aliamuru kuwa kuanzia siku hiyo ili jeshi litekeleze shambulio, ni lazima Amri itoke moja kwa moja kwa rais.Yàani rais atakuwa ndio Mwenye maamuzi wa mwisho.
Kwa kufanya hivyo, ilisaidia kupunguza mamlaka ya jeshi juu ya silaha za nyuklia katika kipindi cha utawala wa *Rais Harry Truman*
Baada ya utawala wa Truman kumalika, ulifuatia utawala wa Rais Dwight Eisenhower na kisha *Rais John F Kennedy* akafata.
Ndipo tunaona katika utawala wake, kunazinduliwa kitu kinachoitwa *'The football'*, ni briefcase linalobeba kifaa kilichowekewa mfumo wa ki tehama ambao utamfanya rais kutekeleza shambulizi la silaha za nyuklia popote pale atakapokuwa.
Miezi michache ilopita mwaka huu 2018, katika mtandao wa kijamii wa 'Twitter' tuliona Rais wa sasa wa marekani, *Donald Trump* akimjibu rais wa Korea Kaskazini *Kim Jon Un* na aliandika hivi;.
_*North Korean Leader Kim Jong Un just stated that the “Nuclear Button is on his desk at all times.”... Please inform him that I too have a Nuclear Butt but it is a much bigger & more powerful than his, and my Button works!..*_
Akiwa na maaana kwamba " Kim jong Un anasema ana kitufe cha Nyuklia wakati wote..sasa mpeni taarifa kuwa hata Mimi ninacho kitufe cha nyuklia, na ni kikubwa na chenye nguvu kuliko chake..."..
***
Lakini Tofauti na fikra za Watu wengi, Hiyo 'the Football' ki uhalisia haina Kitufe chochote kama inavosemwa, ila ni 'lugha' tuu inayotumika kuashiria kwamba shambulizi la Nyuklia linaweza kufanywa ndani ya sekunde chache tuu, ambapo ni kama kubonyeza kitufe.
Kiuhalisia, the football, au nuclear football, ni briefcase ambalo ndani yake kuna mtambo unaotumia mfumo wa tehama( teknolojia, habari, mawasiliano) ambao unamuwezesha Rais kuwasiliana ili Kutoa *Amri* kwa jeshi(pentagon) kufanya Shambulio. Na mawasiliano haya hufanyika ndani ya sekunde chache Tu.
Kwakuwa ili jeshi liweze kufanya shambulizi la nyuklia dhidi ya nchi maadui ni sharti lipokee amri/agizo kutoka moja kwa moja kwa rais.. Hivyo Rais Kennedy alijiuliza baadhi ya maswali, na moja ya maswali hayo alijiuliza hivi:
_*“How would the person who received my instructions verify them?”*_
Kutokana na swali hilo ndipo jeshi likabuni mfumo ambao *utathibitisha* pasi na shaka yeyote kuwa Rais ndiye aliyetoa amri.
Na hapo ndio ukawa mwanzo wa The Football, briefcase jeusi lenye uzito wa kilo ishirini linalobebwa na moja ya ma boardguard wa Rais, ambalo ndani yake kuna...pale duniani.
Katika kitabu kilichoitwa Breaking Cover, kilichoandikwa na aliyekuwa mkurugenzi wa ofisi ya jeshi ya ikulu, bwana *Bill Gulley* kinaeleza kwamba..
Ndani ya 'the football' kulikuwa na vitu vinne vikuu.
Kwanza kulikuwa na kitabu kilichojulikana kama *Black Book*, ambacho kuliandikwa orodha ya nchi zote zinazotengeneza silaha za Nyuklia ambazo Marekani waliziita 'target Areas'.
Pa kulikua na mtambo wa redio ya satelaiti ambayo inawezesha kusafirisha mawasiliano kwenda idara ya ulinzi (pentagon), ambao wao ndio hurusha makombora kwenda nchi husika.
Kuna kitabu kingine Kinachoelezea namna ya kutumia mfumo wa dharula yaani *Emergency Alert System.* Huu ni mfumo wezeshi unaomfanya Rais aweze kuzungumza na wasaidizi wake, au Kutoa taarifa kwa umma, wakati wa tukio la dharula.
Pia kuna kadi inayojulikana kama
'biscuit',mithili ya kadi za Benki..ambayo ina code maalum zinazoitwa Gold Codes ambazo ndio hubeba utambulisho wa rais (Identification). Hii inawesaidia pentagon kuthibitisha kuwa pasi na shaka kuwa anayetumia the Football kwa mda huo ni Rais..Kadi hii Rais anaweza kutembea nayo mfukoni ama ampe msaidizi wake amshikie.
Naaam..!!
Hiyo ndio the Football, au Nuclear Football inayotumiwa na marais wa Marekani. Yote ikiwa ni katika ulimwengu wa Vita vya Nyuklia.
Naomba niishie Hapa.
 
Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.

Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?

Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.

Nawasilisha.
Hizi Brifcase ni Cellphones jammers.Zinazuhia mabomu amabayo ni remote controlled...Zamani uliweza sikia kuwa mweshimiwa atafika saa nane mchana.lakini ukakuta ameingia saa 10 .sasa hivi mtu anatega bomu lake anasubiria ufike abonyeze kitufe mchezo wishe.Viongozi wengi na mfano Italy majaji wengi wameuwawa kwa remote controlled bombs.
Barozi za USA za Tanzania na Kenya pia zilishambuliwa na remote controlled bombs (tena inasemekana Osama mwenyewe ndo alicklick kitufe)
ata jana Kenya wameshambuliwa na aina hii ya bomu pale msomali mmoja alipompa mwendesha mkokoteni begi kisha akamwambia amsubirie...alipofika mbali akalilipua
 
Attachments

  • Screenshot_20190127-092255.png
    Screenshot_20190127-092255.png
    203.9 KB · Views: 29
  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    12.5 KB · Views: 25
Mambo mengine ni vigumu kuyajadili, yaani mtanzania anajadili kilichomo kwenye briefcase inayobebwa na walinzi wa rais wa Marekani au Urusi?

Hahahaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
We nae ni mshamba tu!! Protokali za ulinzi wa marais wakubwa duniani zinapatikana na zinawekwa wazi!! Ni nyie tu waluga luga mnaobandika hirizi kwenye makoti ndio huwa mnajificha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi briefcase zinaweza kuwa zimebeba kati ya Getpass ya Connection kati ya Rais na Makao makuu ya Jeshi yani verified comms ila pia Zinaweza kuwa zimebeba Signals jammers Kwa ajili ya IED improvised Explosive Device yani mabomu ya kulipua kwa Remote control, Tumeona kilichomkumba Emerson mnanagwa laiti kama one of his protector was having this briefcase, this wouldn't happen
 
Ha ha ha ha ha ha ha.....Mkuu bhana! Na nashukuru Wewe kuwa mmoja wa Watu makini mno hasa kwa ' Mabandiko ' yangu na nina uhakika kwa uwezo wako mkubwa na mzuri wa ' IQ ' hapa utakuwa umeshajua nimemaanisha nini, nalenga nini na naelekea wapi. Ila nakuomba baki hivyo hivyo Kimya. Nilijua tu kuwa ' Majiniasi ' wachache kama Wewe mngenielewa upesi kama siyo haraka sana tu. Uko vizuri na nimekukubali.
Mimi niliiona maandalizi ya taifa stars na pale airport kwa aliyetorosha ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahala popote pale katika huu ' Uzi ' wangu ama umemtaja Rais Dkt. Magufuli au Kikosi chake cha Ulinzi? Hivi ni kwanini baadhi ya Watanzania mnakuwa na tabia za ' Kike Kike ' za kuwa na Kiherehere kama siyo Kimbelembele? Tena nimeweka hapo juu hadi mifano ya Nchi ambazo Marais wake Walinzi wao wanabeba hizo ' Briefcases ' je umeona nimeitaja hapo Tanzania? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibu Kunya / Hovyo / Shombo halafu mnalalamika.
Niko bite byawe, prezida wa tanzanie aratinya cyane!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evon e Mkamila
Kuanzia mwaka *196O* hadi Leo hii, Marais wote wa Marekani wamekuwa *wakiambatana* na mlinzi ('boardguard') maalum ambaye huwa anabeba mkoba, yaani *('briefcase')*.
Briefcase hii ni *shurti* iwe karibu na rais popote pale anapokuwa, hivyo ni wajibu wa mlinzi huyu kuwa sambamba na Rais popote pale anapoenda.
Briefcase hii imepewa jina la *'the football'*
Sasa Ili kufahamu 'the football' inabeba nini, na ni kwa ajili ya nini, naomba ufuatane nami katika makala haya.
***
Katika kile kinachojulikana kama *uhasama* kati ya mataifa ya kikomunisti na mataifa ya kibepari al maarufu kama *"vita baridi"* Dunia imekua ikishuhudia ugomvi wa kisiasa, kiuchumi, na kijeshi baina ya pande hizo mbili huku kila upande ukijidhatiti kujilinda dhidi ya mwingine.
Marekani ikiwa ndio kinara kwa upande wa mataifa ya kibeberu huku muungano wa usovieti kwa upande wa Mataifa ya kikomunisti *(capitalist vs socialist blocks)*
Katika kipindi chote cha vita baridi, muungano wa nchi za kisovieti, *(USSR)* walikua wanawaunga mkono nchi ya Cuba, na hivyo mwaka 1962 waliamua kutega *makombora* ya nyuklia ya masafa ya kati, nchini humo *(cuba)*, hali iliyozusha mvutano mkubwa na kuisogeza dunia karibu kabisa na kulipuka kwa *vita vya kinyuklia.*
Mara tu Baada ya Marekani kubaini uwepo wa makomboa hayo, Rais wa marekani kwa wakati huo *John F. Kennedy* akapatwa na wasiwasi kwamba huenda siku yeyote na muda wowote USSR wanaweza kufanya shambulio la nuclear dhidi ya ya nchi yake, na ukizingatia makombora hayo yametegwa nchini Cuba jirani kabisa na Marekani.
Hivyo katika kujilinda na kujihami dhidi ya shambulio hilo, Kennedy akatoa maagizo kwenda kwa idara ya ulinzi ya marekani *'Pentagon'*, kuuandaa mfumo unaomuwezesha rais anapokuwa mahala popote kufanya shambulio la nyuklia kwa nchi maadui na ndani ya sekunde moja tuu.
Ndipo jeshi likatengeneza kitu ambacho kilimuwezesha rais kufanya shambulio tuu kwa *'kubonyeza kitufe*'. (only by just pressing the button).
Na kitu hiko kilijulikana kama *"The football"* au wengine huita majina mbalimbali kama vile *the nuclear button;*, 'Nuclear football'; 'the button'; 'presidential emergency button'; au 'emergency satchel'; *n.k*
Ifahamike kwamba leo hii, *Marekani* ikitaka kufanya shambulizi la silaha za nyuklia ni shurti Amri itoke kwa Rais.. yaani Rais ndiye mtu pekee wa *kuidhinisha* shambulizi hilo, na si mtu mwingine.
Hapa Nitaeleza ni kwanini ipo hivyo.����
wazo la kumfanya rais kuwa ndiye *mtu wa pekeee* wa kutoa amri kuhusu kufanya shambulizi la kinyuklia, lilikuja kufuatia nchi ya Marekani kudondosha mabomu ya nyuklia huko *Hiroshima na Nagasaki* nchini Japan, mabomu ambayo kwa hakika ndiyo yalizima Vita ya pili ya dunia mnano *mwaka 1945*
Katika shambulizi hilo, Rais yaliyekuwa madarakani *Harry Truman* aliitaka marekani itatumia silaha za nyuklia katika vita ya pili ya dunia *ila* hakutaja 'specifically' ni siku ipi au muda upi na mahala gani mabomu hayo yatumike, lakini badala yake maamuzi hayo yalifanywa na jeshi, na kisha yeye akaoneshwa tuu mpango mkakati. Yaan kwa maneno mengine niseme kuwa Rais hakuwa na maamuzi ya mwisho kuhusu Shambulizu hilo la *Hiroshima na Nagasaki, Japan*
Siku mojà baàda ya kumalizika kwa mashambulizi ya nagasaki na Hiroshima, rais, *Truman* aliamuru kuwa kuanzia siku hiyo ili jeshi litekeleze shambulio, ni lazima Amri itoke moja kwa moja kwa rais.Yàani rais atakuwa ndio Mwenye maamuzi wa mwisho.
Kwa kufanya hivyo, ilisaidia kupunguza mamlaka ya jeshi juu ya silaha za nyuklia katika kipindi cha utawala wa *Rais Harry Truman*
Baada ya utawala wa Truman kumalika, ulifuatia utawala wa Rais Dwight Eisenhower na kisha *Rais John F Kennedy* akafata.
Ndipo tunaona katika utawala wake, kunazinduliwa kitu kinachoitwa *'The football'*, ni briefcase linalobeba kifaa kilichowekewa mfumo wa ki tehama ambao utamfanya rais kutekeleza shambulizi la silaha za nyuklia popote pale atakapokuwa.
Miezi michache ilopita mwaka huu 2018, katika mtandao wa kijamii wa 'Twitter' tuliona Rais wa sasa wa marekani, *Donald Trump* akimjibu rais wa Korea Kaskazini *Kim Jon Un* na aliandika hivi;.
_*North Korean Leader Kim Jong Un just stated that the “Nuclear Button is on his desk at all times.”... Please inform him that I too have a Nuclear Butt but it is a much bigger & more powerful than his, and my Button works!..*_
Akiwa na maaana kwamba " Kim jong Un anasema ana kitufe cha Nyuklia wakati wote..sasa mpeni taarifa kuwa hata Mimi ninacho kitufe cha nyuklia, na ni kikubwa na chenye nguvu kuliko chake..."..
***
Lakini Tofauti na fikra za Watu wengi, Hiyo 'the Football' ki uhalisia haina Kitufe chochote kama inavosemwa, ila ni 'lugha' tuu inayotumika kuashiria kwamba shambulizi la Nyuklia linaweza kufanywa ndani ya sekunde chache tuu, ambapo ni kama kubonyeza kitufe.
Kiuhalisia, the football, au nuclear football, ni briefcase ambalo ndani yake kuna mtambo unaotumia mfumo wa tehama( teknolojia, habari, mawasiliano) ambao unamuwezesha Rais kuwasiliana ili Kutoa *Amri* kwa jeshi(pentagon) kufanya Shambulio. Na mawasiliano haya hufanyika ndani ya sekunde chache Tu.
Kwakuwa ili jeshi liweze kufanya shambulizi la nyuklia dhidi ya nchi maadui ni sharti lipokee amri/agizo kutoka moja kwa moja kwa rais.. Hivyo Rais Kennedy alijiuliza baadhi ya maswali, na moja ya maswali hayo alijiuliza hivi:
_*“How would the person who received my instructions verify them?”*_
Kutokana na swali hilo ndipo jeshi likabuni mfumo ambao *utathibitisha* pasi na shaka yeyote kuwa Rais ndiye aliyetoa amri.
Na hapo ndio ukawa mwanzo wa The Football, briefcase jeusi lenye uzito wa kilo ishirini linalobebwa na moja ya ma boardguard wa Rais, ambalo ndani yake kuna...pale duniani.
Katika kitabu kilichoitwa Breaking Cover, kilichoandikwa na aliyekuwa mkurugenzi wa ofisi ya jeshi ya ikulu, bwana *Bill Gulley* kinaeleza kwamba..
Ndani ya 'the football' kulikuwa na vitu vinne vikuu.
Kwanza kulikuwa na kitabu kilichojulikana kama *Black Book*, ambacho kuliandikwa orodha ya nchi zote zinazotengeneza silaha za Nyuklia ambazo Marekani waliziita 'target Areas'.
Pa kulikua na mtambo wa redio ya satelaiti ambayo inawezesha kusafirisha mawasiliano kwenda idara ya ulinzi (pentagon), ambao wao ndio hurusha makombora kwenda nchi husika.
Kuna kitabu kingine Kinachoelezea namna ya kutumia mfumo wa dharula yaani *Emergency Alert System.* Huu ni mfumo wezeshi unaomfanya Rais aweze kuzungumza na wasaidizi wake, au Kutoa taarifa kwa umma, wakati wa tukio la dharula.
Pia kuna kadi inayojulikana kama
'biscuit',mithili ya kadi za Benki..ambayo ina code maalum zinazoitwa Gold Codes ambazo ndio hubeba utambulisho wa rais (Identification). Hii inawesaidia pentagon kuthibitisha kuwa pasi na shaka kuwa anayetumia the Football kwa mda huo ni Rais..Kadi hii Rais anaweza kutembea nayo mfukoni ama ampe msaidizi wake amshikie.
Naaam..!!
Hiyo ndio the Football, au Nuclear Football inayotumiwa na marais wa Marekani. Yote ikiwa ni katika ulimwengu wa Vita vya Nyuklia.
Naomba niishie Hapa.
NILICHOGUNDUA HAPA MTOA UZI HUJAMUELEWA KABISA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom