Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.
Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.
Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.
Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.
Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.
Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.
Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.
Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike
Uislamu ni wa ulimwengu mzima pamoja na wewe.Wenye Uislamu wenyewe wameanza kujielewa. Huko Muddy alizaliwa na kukulia na ndugu zake wapo na mashemeji zake, wajukuu , wakwe na wapwa. Nyie vidampa mnashupaza mishipa na kukomaa kichwa mnadhani mkivaa vipedo pusha na kufuga ndevu tayari ni Waislamu
Sasa umeandika nini?Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.
Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.
Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.
Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.
Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.
Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.
Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.
Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike
Waarabu wawachukie USA na Israel.Sasa umeandika nini?
Mwanaume kujificha nyuma ya keyboard na kushabikia vitu vya wenzio bila wewe kuwepo ni ujinga mwingineTuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.
Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.
Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.
Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.
Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.
Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.
Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.
Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike
Uislamu ni wa ulimwengu mzima pamoja na wewe.
Saudi Arabia hawana amri kwa maamuzi ya Mwenyezi Mungu.
Ni mjinga tu hushupaza shingo akiletewa ujumbe wa amani! Iran amepelekewa ujumbe wa amani tena na wenye nguvu kumzidi aone umuhimu huo.Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.
Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.
Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.
Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.
Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.
Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.
Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.
Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike
Kwetu waislamu kila tunachokifanya inatakiwe kiwe kwa mujibu wa dini.Kama kuna kitu ambacho huaga kinanishinda na kukielewa kutoka kwa Waislamu hasa wa huku Africa basi huaga ndio hiki anacho kisema mleta UZI. Hivi hapo kuna uhusiano wowote na DINI? Yaani Saudia imeukosea vipi uislamu kwa kuishauri Iran kuachana na deals za nuclear na Iran inadumisha vipi Uislam kwa kuivimbia Marekani kuhusu nuclear? Somebody anielekeze nielewe. Kwamba you guys kila mnacho kifanya ni DINI tu? Kulima, kula, kufanya biashara au uchumi kwa ujumla wake how do you relate with your region? Iran inashirikiana na Russia kwa mambo yake mengi, Pakistan ina uhusiano wa karibu mno na China, China na Russia ni nchi za Kipagani...., kwenye dini yenu hilo limekaaje?
🤣🤣🤣 waarabu wenyewe hawaamini kama kuna mtu mweusi muislam. We endelea kung'ang'ana na ujinga kichwani, wenye dini yao wameshaanza kupata mwangaKwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.
Now hujajibu swali langu; Saudia inaudhalilisha vipi Uislam kwa kuishauri Iran iachane na nuclear na Iran inadumisha vipi uislamu kwa kuendelea na nuclear power and weapons?Kwetu waislamu kila tunachokifanya inatakiwe kiwe kwa mujibu wa dini.
Wachilia mbali kulima na kufanya biashara hata kuingia chooni na kulala na mkeo pia ni dini na ukikosea basi unajiweka mbali na rehma za Mwenyezi Mungu.