Hiki walichofanya Saudi Arabia ni tusi kubwa kwao na kwa waislamu wote duniani

Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.

Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.

Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.

Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.

Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.

Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.

Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.

Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike​

Yupo sawa. Kilichompeleka hasa huyo mwanamfalme Iran ni hofu ya kuharibika maisha eneo kubwa la Mashariki ya kati ikiwemo Saud Arabia baada ya vita kuzuka.

Hao Waarabu wa Saudi Arabia wamezoea kuishi maisha ya raha, hivyo vita vikitokea kati ya Iran na Israel, havitaishia hapo tu, bali karibu eneo kubwa la Mashariki ya kati ikiwemo Saudi Arabia wataathirika na vita hivyo. Hao Wasaudi wanapenda raha ndio maana wanataka kuruhusu vilabu vya pombe
 
Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.

Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.

Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.

Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.

Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.

Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.

Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.

Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike​

kITU KISICHOJULIKANA NI KUWA UKOO MZIMA WA SAUDI ASILI YAO NI MAYAHUDI WA KHAYBAR ( KUNA KITABU KILICHAPISHWA NA DR.MMOJA WA IRAQ ALIYEFANYA UTAFITI WA MIAKA 12. VITABU HIVYO VILINUNULIWA VYOTE NA WASAUDI VIKACHOMWA MOTO NA DR ALIUAWA KWA KIFICHO MIAKA YA 70). HUU UISLAMU WA MAWAHABI PIA UNATUMIKA TU KAMA CHAMBO. UTAKUWAJE MUISLAMU UKACHUKIA KUSIFIWA MTUME SAW? ILA WAO WANA 'MAULID' YA MUASISI WA SAUDIA KILA MWAKA! WAISLAMU WAMELALA.
 
Mnatuchanganya sasa inamaana nyie wa sunni mmeshawakubali mashia kuwa ni waislamu wenzenu? Ila mashia bado msimamo wao nyie wasunni sio waislam so jibu ni hakuna uislam nyote ni makafiri walisema wayahudi wakimuita Mohammad kafiri
 
Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.

Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.

Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.

Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.

Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.

Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.

Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.

Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike​

Hii dhana ya “ulimwengu wa kiislam” ndio inafanya uislam kutumika hovyo na kuwa dini ya hovyo hovyo sana
 
Wenye Uislamu wenyewe wameanza kujielewa. Huko Muddy alizaliwa na kukulia na ndugu zake wapo na mashemeji zake, wajukuu , wakwe na wapwa. Nyie vidampa mnashupaza mishipa na kukomaa kichwa mnadhani mkivaa vipedo pusha na kufuga ndevu tayari ni Waislamu
huwa nawashangaa sana vidampa hawa wa madongokuinama kukumbatia ujinga toka mbali
 
Kichwa Cha habari kinahusu uislam habari ya Uzi wenyewe inahusu siasa na Nyukilia

Mbona hauweleki broo
 
Now hujajibu swali langu; Saudia inaudhalilisha vipi Uislam kwa kuishauri Iran iachane na nuclear na Iran inadumisha vipi uislamu kwa kuendelea na nuclear power and weapons?
Ukitumia akili kidogo tu unafahamu kwanini kitendo hicho ni kuudhalilisha Uislamu.Pamoja na hivyo nitakuongezea elimu kidogo.
Sehemu ambapo kuna adui ambaye ni sugu na hana dalili ya kufanya mapatano na wewe badala ya kumkimbia na kumuacha akuharibie familia na dini yako unatakiwa utafute silaha kama alizonazo yeye au zaidi ya hizo ili akikufuata tena upigane naye.
Russia haipendi kabisa mambo ya Kiislamu na Uislam,ukieandamana kule ndio balaa;
Sio kweli kiukweli unaoufahamu wewe.Urusi imefaidika sana na uislamu na haiwezi kuufanyia uadui uislamu kama wanavyofanya wengine.
wakati wa akina Stalin walijisahau na kuacha kulipa fadhila kwa waislamu kutokana na kufaidika nao.Muda huo ndio mambo yalikuwa mabaya sana kwa waislamu.Sasa hivi Putina anashirikiana vyema na watawala wa Chechnya katika kuipiga Ukraine.Waislamu wamejaa Moscow kutoka mataifa mbali mbali yenye waislamu wanaoizunguka Urusi.
Kuna makafiri na wale wenye mioyo kama enzi za Stalin ambao wamelalamika kwa kujaa kwa waislamu katikati ya mitaa ya Moscoe.Peskov ambaye ni msemaji wa Kremlin amewajibu watu hao kuwa Urusi haiwezi kuwatenga waislamu na hasa muda huu wa vita.Akaongeza kwa kusema Urusi ina ardhi kubwa sana lakini ziko tupu kabisa.
China ina aleji kubwa mno na mambo ya dini hasa Waislamu now, my second question is; hao mbona mnawasifia sana Wachina na Russia while wapo allergic with your faith...., is this not double standard?
Ni kweli China inauogopa Uislamu na ijapokuwa kama Urusi wamefaidika sana na utamaduni na elimu za waislamu.
Pamoja na hivyo uadui wao haukaribiani na uadui wa Marekani na Israel kwa waislamu.Wao wanafanya visa kwa waislamu tena vibaya lakini hawavitangazi.
Unajua unapokuwa muovu ukafanya uovu wako huku unajificha ni tofauti na kufanya hadharani ili kila mtu akuone.Kwa maana hiyo kwenye vita vinavyoendelea Ukraine ndio maana waislamu walio wengi wanatamani Ukraine inayopata misaada kutoka Marekani na Israel wanaona afadhali Urusi kuliko Ukraine.
Hakuna double standard hapo.
 
Weeeeeh.... Haitakuja tokea nikamwabudu shetani na malaika zake (Majini) piga ua galagaza. Sitapeliki.

1748853993581.png
 
Muddy alikuwa shoga, bakaji na mlawiti

Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (RA):
Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW)
alimchukua mtoto mchanga wa Abu Usaid As-Sa'idi.
Mtoto alikuwa analia kwa kiu.
Mtume (SAW) akaweka ulimi wake katika kinywa cha mtoto.
Mtoto akaanza kunyonya ulimi wa Mtume hadi akatulia.
 
Attachments

  • 1729399990201.jpeg
    1729399990201.jpeg
    252.9 KB · Views: 23
Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.

Ujumbe huo ulikuwa ni wa mwanamfalme Khalid bin Suleiman aliyetumwa na baba yake akaonane na viongozi wakuu wa Iran kushauriana nao jambo fulani muhimu.Hatimae kikao hicho kilifanyika mnamo Aprili 17 lakini kumbe ilikuwa ni ushenga na ukuwadi kwa ajili ya Marekani na Israel.

Eti alikwenda kupeleka salamu kutoka Marekani ikiwa imebaki wiki chache kwa raisi Trump kutembelea mataifa ya mashariki ya kati.Alitakiwa awaambie Iran kwamba ikubaliane na matakwa ya Marekani ya kutaka ifanye mazungumzo nayo ili kusitisha urutubishaji wa madini ya Uranium.

Mwana mfalme huyo bila aibu akaiambia Iran isipofanya hivyo inahatarisha kushambuliwa kwa vinu vyake vya nyuklia kutoka kwa Israel jambo ambalo litaiingiza mashariki ya kati yote kwenye majanga makubwa.

Sababu nyengine ya kuhofia mashambulio hayo ni kwa vile eneo hilo limeshachoka na janga linaloendelea huko Gaza..Na sijui wana kipi cha kuzungumzia na kuogopa kuhusiana na Gaza wakati hawajawahi kufanya juhudi yo maana kuingilia na kusitisha vita hivyo.

Undani wa kikao hicho haukutolewa na upande wowote kati yao,hata hivyo kutokana na kilichofuata katika mikutano ya Marekani na Iran kuhusiana na mada hivyo ambapo Iran imesimama kidete kutetea haki yake ya kubaki na vinu vyake,inaonesha siku kikao hicho kilipofanyika Iran ilimdharau sana mjumbe huyo na kumuona akifanya upatanishi na vitisho vya kishoga shoga.

Kwa kifupi kukubali kutumwa kama mtoto kwenda kumtisha mtu ambaye mwengine anamuogopa ni dalili ya upungufu wa kiakili kwa watawala wa Saudia na ni tusi kwa waislamu sote.

Saudi warns Iran to reach nuclear deal with Trump or risk Israeli strike​

Kitendo cha jiwe la mecca kulindwa na Marekani, itoshe kusema, Hako ka nchi kapo chini ya USA
 
Muddy alikuwa shoga, bakaji na mlawiti

Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (RA):
Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW)
alimchukua mtoto mchanga wa Abu Usaid As-Sa'idi.
Mtoto alikuwa analia kwa kiu.
Mtume (SAW) akaweka ulimi wake katika kinywa cha mtoto.
Mtoto akaanza kunyonya ulimi wa Mtume hadi akatulia.
 
Jagina aka vaginah

We ulikuwemo kwenye kikao?
 
Achana naye Saudia huyo ni joka la kibisa.
Angalau Qatar alionesha ushirikiano wa kweli kwa kumualika Iran kwenye kiwanda chake cha silaha.
 
Toka enzi ya kibaka Muddy, Waislam (waarab / persians) hawajawahi kupendana na hawatakuja kupendana hii kitu ipo ndani ya damu yao. Wenyewe kwa wenyewe hawapendani huo umoja wao utatoka wapi ni sawa tu na sisi Waafrika tunaoendekeza dii zisizotuhusu.
 
Back
Top Bottom