Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hii ni mara ya 3 ndani ya huu napokea ujumbe kama huu na kubadilisha namba ya siri ya Tigopesa.
Sijui sababu ya wao kufanya hivi ni nini ila kwangu kama mteja ni kero kwa sababu namba nilizozizoea kutumia kama pasword nimeshazitumia zote tatu na ndio zenye urahisi kwangu wa kuzikumbuka.
Wafanye hivi kwa maombi binafsi ya mteja na sio lazima kama wanavyoelekeza.
Nawasilisha.