Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #21
Tigo wajirekebishe mtandao wao una kero nyingi ni vile nilijiunga na namba yao kwenye mambo mengi ya msingi ningeshawatupilia mbali.tigo ni wapuuzi. nikiulizia Salio la vifurushi hawaniletei. niliwauliza huduma kwa wateja wakanidanganya kuwa nipige *103#, nikafanya hivyo yakawa ni yale yale.
"sound gospel!" in kingwendu's voice