Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Huo ujumbe haukuhusu kama unaridhika na namba ya siri unayotumia. Hawajakuambia ubadilishe, ila kama unatumia mwaka wa kuzaliwa kama namba ya siri, ndiyo inashauriwa kubadilisha ili kuepusha uwezekano wa watu kuingia kwenye akaunti yako ya Mpesa bila ridhaa yako, ikitokea simu yako imeingia mikononi mwao.Hii ni mara ya 3 ndani ya huu napokea ujumbe kama huu na kubadilisha namba ya siri ya Tigopesa.
Sijui sababu ya wao kufanya hivi ni nini ila kwangu kama mteja ni kero kwa sababu namba nilizozizoea kutumia kama pasword nimeshazitumia zote tatu na ndio zenye urahisi kwangu wa kuzikumbuka.
Wafanye hivi kwa maombi binafsi ya mteja na sio lazima kama wanavyoelekeza.
Nawasilisha.
View attachment 2764171
KWA MIMI BINAFSI IMESHANITOKEA SANA HIYO NA HAWAKUPI NAFASI YA KUTOA PESA BILA KUBADILISHA HIYO NAMBA YA SIRI.Huo ujumbe haukuhusu kama unaridhika na namba ya siri unayotumia. Hawajakuambia ubadilishe, ila kama unatumia mwaka wa kuzaliwa kama namba ya siri, ndiyo inashauriwa kubadilisha ili kuepusha uwezekano wa watu kuingia kwenye akaunti yako ya Mpesa bila ridhaa yako, ikitokea simu yako imeingia mikononi mwao.
Kwa hiyo kama unaridhika na namba ya siri unayoitumia, usifuate hayo maelekezo.
Natumai umenipata.
Hayo maelekezo ni lazima kwa tigopesa ukibofya menu tu unakutana na kuweka namba ya siri mpya.Huo ujumbe haukuhusu kama unaridhika na namba ya siri unayotumia. Hawajakuambia ubadilishe, ila kama unatumia mwaka wa kuzaliwa kama namba ya siri, ndiyo inashauriwa kubadilisha ili kuepusha uwezekano wa watu kuingia kwenye akaunti yako ya Mpesa bila ridhaa yako, ikitokea simu yako imeingia mikononi mwao.
Kwa hiyo kama unaridhika na namba ya siri unayoitumia, usifuate hayo maelekezo.
Natumai umenipata.
Mbona miamala nafanya kwa namba hiyo.Usipotumia tigopesa kwa muda mrefu huwa wanahuisha na kuwa 0000.
Hivyo ukiingia tigopesa itakulazimu kubadili kwanza namba za siri kabla ya kufanya muamala wowote au huduma ya tigopesa.
You will not be able to reuse the previous PIN.
Ndivyo ilivyo jana ilinibidi nibadili namba ya siri ndio niweze kutumia, sijapenda huu utaratibu wao.KWA MIMI BINAFSI IMESHANITOKEA SANA HIYO NA HAWAKUPI NAFASI YA KUTOA PESA BILA KUBADILISHA HIYO NAMBA YA SIRI.
Hii nayo ni kero kwa kweli nna line ya tigo, halotel, airtel na ttcl ila tigo wamezidi kwa sms kwa siku zinafika 10+Mimi wamenipigia sana kuniambia habari za BIMA yao
Tigo wapunguze pia kutuma SMS kwa wateja
Aisee! Pole!!!Ndivyo ilivyo jana ilinibidi nibadili namba ya siri ndio niweze kutumia, sijapenda huu utaratibu wao.
Shukrani mkuuAisee! Pole!!!
Wanakera sana.wanajifanya wanajali sana usalama kumbe hakuna kitu.Ndivyo ilivyo jana ilinibidi nibadili namba ya siri ndio niweze kutumia, sijapenda huu utaratibu wao.
Wanazingua mtu kwa mwaka ubadili pasword mara 3 n kuchoshanaWanakera sana.wanajifanya wanajali sana usalama kumbe hakuna kitu.
Hivi Tigo hawana membership humu JF? Ni muhimu malalamiko kama haya yawafikie. Wasipochukua hatua sahihi inaweza kuathiri biashara yao.Ndivyo ilivyo jana ilinibidi nibadili namba ya siri ndio niweze kutumia, sijapenda huu utaratibu wao.
Sijajua ila nilijaribu kuwatag sijafanikiwa ila lazima kuna wafanyakaz wao humu. Haya malalamiko nilishawahi kufika ofisi zao majibu yao ni usalama ila sioni kama ni sawa.Hivi Tigo hawana membership humu JF? Ni muhimu malalamiko kama haya yawafikie. Wasipochukua hatua sahihi inaweza kuathiri biashara yao.
...Hapo Wanakushauri, Sio wanataka ubadilishe password !! [emoji57]Hii ni mara ya 3 ndani ya huu napokea ujumbe kama huu na kubadilisha namba ya siri ya Tigopesa.
Sijui sababu ya wao kufanya hivi ni nini ila kwangu kama mteja ni kero kwa sababu namba nilizozizoea kutumia kama pasword nimeshazitumia zote tatu na ndio zenye urahisi kwangu wa kuzikumbuka.
Wafanye hivi kwa maombi binafsi ya mteja na sio lazima kama wanavyoelekeza.
Nawasilisha.
View attachment 2764171
Ndio maana ya TigoHii ni mara ya 3 ndani ya huu napokea ujumbe kama huu na kubadilisha namba ya siri ya Tigopesa.
Sijui sababu ya wao kufanya hivi ni nini ila kwangu kama mteja ni kero kwa sababu namba nilizozizoea kutumia kama pasword nimeshazitumia zote tatu na ndio zenye urahisi kwangu wa kuzikumbuka.
Wafanye hivi kwa maombi binafsi ya mteja na sio lazima kama wanavyoelekeza.
Nawasilisha.
View attachment 2764171
Wanataka maana ni lazima ukipiga menu ya tigopesa ni lazima uanze kwanza na kuchange namba ndio zile options nyingine zije....Hapo Wanakushauri, Sio wanataka ubadilishe password !! [emoji57]