Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Sep 28, 2023 Thread starter #21 Blood of Jesus said: tigo ni wapuuzi. nikiulizia Salio la vifurushi hawaniletei. niliwauliza huduma kwa wateja wakanidanganya kuwa nipige *103#, nikafanya hivyo yakawa ni yale yale. "sound gospel!" in kingwendu's voice Click to expand... Tigo wajirekebishe mtandao wao una kero nyingi ni vile nilijiunga na namba yao kwenye mambo mengi ya msingi ningeshawatupilia mbali.
Blood of Jesus said: tigo ni wapuuzi. nikiulizia Salio la vifurushi hawaniletei. niliwauliza huduma kwa wateja wakanidanganya kuwa nipige *103#, nikafanya hivyo yakawa ni yale yale. "sound gospel!" in kingwendu's voice Click to expand... Tigo wajirekebishe mtandao wao una kero nyingi ni vile nilijiunga na namba yao kwenye mambo mengi ya msingi ningeshawatupilia mbali.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Sep 28, 2023 Thread starter #22 peno hasegawa said: Ndio maana ya Tigo Click to expand... Maana yake nini?