Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Kuna mtu anakuita Juma Lokole 😀 😀Mngefanyia Mkutano wenu Mikocheni au Ufipa kama hamtaki Ulinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu anakuita Juma Lokole 😀 😀Mngefanyia Mkutano wenu Mikocheni au Ufipa kama hamtaki Ulinzi
Bado hajasema 🐼Kuna mtu anakuita Juma Lokole 😀 😀
Hamtaki kulindwa? Ili baadae mkibomoana mlilalamikie Jeshi letu?Wakuu,
Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?
"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini?
"Wakati hawa Polisi Serikali huwa wanawatuma kuja kutupiga mabomu na virungu kwenye maandamano na mikutano?"
Pia soma: Pre GE2025 - CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa
Kukiwa na maandamano au mikutano yao hili jukumu huwa linakufa? Kwanini iwe tofauti? Ndio unafiki huo anaouhojiNaona sasa akili zimewahama. Kuwepo kwa polisi ni kuhakikisha kuwa hakuna mtu atadhurika ( wanaohudhuria kikao, mashabiki na wapita njia)au mali kuharibiwa wakati wa uchaguzi. Na yote haya yamechangiwa na matamko na lugha mbaya ambazo mashabiki wa wagombea uchaguzi wamekuwa wakitupiana.
Wao walitegemea nini wakati wanawajaza watu upepo kuwa kura zitaibiwa? Ovyo kabisa.
Amandla...
na ndivyo tunavyotakaNoma sana, ngoja tuone meza ikipinduka mambo yatakuaje
Hako kajanamke kana mdomo kuzididi hata Erythrocyte 😂😂Kaache mdomo kwani hajui kazi ya polisi au anajitoa ufahamu.
Kwani Polisi wameenda kupiga kura mbona awana shuklan kwa Polisi kulinda usalama wa wanoenda kupiga kura!!!Kaache mdomo kwani hajui kazi ya polisi au anajitoa ufahamu.
Mara ngapi Lissu ameshukuru hadharani uwepo wa polisi katika mikutano ya CDM. Mara ngapi tumeona polisi wakiwepp wakati wa maandamano. Leo ndio mnajifanya mlikuwa hawaoni?Kukiwa na maandamano au mikutano yao hili jukumu huwa linakufa? Kwanini iwe tofauti? Ndio unafiki huo anaouhoji
Ili la mashoga kukumbatia wazungu ndio shida yake!!! Wekemeee ushoga adhalani sio wanawaogopa wazungu!!! Wanaowafadhili!!!!!!Wanachama wa Chadema wakiimba kwa sauti za juu kuwa hawaki viongozi wanaotetea mashoga katika ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City jijini Dar es salaam.
tuna jambo letu kwa manufaa ya taifa hapo, mnapoandamana virungu muhimu kwakuwa mnahatarisha usalama wa wengine watulivu wa ccmWakuu,
Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?
"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini?
"Wakati hawa Polisi Serikali huwa wanawatuma kuja kutupiga mabomu na virungu kwenye maandamano na mikutano?"
Pia soma: Pre GE2025 - CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa
Ili Dongo la lalasalama!! Siasa ngumu sana! Ngoja niendeleee kuandaa shamba langu kwaajili ya ufuta!!!! Kufikia kesho awe ashapatiikana Mwenyekiti mpya, na tusisikie nani katekwa!!!!Wanachama wa Chadema wakiimba kwa sauti za juu kuwa hawaki viongozi wanaotetea mashoga katika ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City jijini Dar es salaam.