Pre GE2025 Hilda ahoji mapenzi ya Polisi kwa CHADEMA yanatoka wapi wakati wakiwa kwenye mikutano yao au maandamano huwapiga virungu?

Pre GE2025 Hilda ahoji mapenzi ya Polisi kwa CHADEMA yanatoka wapi wakati wakiwa kwenye mikutano yao au maandamano huwapiga virungu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahaha labda ni single mother, wanandoa wanapigwa virungu, fimbo ,ngumi, na mateke na wako happy.

Sasa virungu vya polisi kwenya fujo na maandamano, kwanini visiwe sehemu ya mapenzi kama vinawasaidia wasikamatwe na kwenda jela makamanda wafanya fujo?
 
Wakuu,

Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?

"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini?

"Wakati hawa Polisi Serikali huwa wanawatuma kuja kutupiga mabomu na virungu kwenye maandamano na mikutano?"

Pia soma: Pre GE2025 - CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa
Hamtaki kulindwa? Ili baadae mkibomoana mlilalamikie Jeshi letu?
Pambaneni na Rushwa lakini kulindwa lazima mlindwe
 
Naona sasa akili zimewahama. Kuwepo kwa polisi ni kuhakikisha kuwa hakuna mtu atadhurika ( wanaohudhuria kikao, mashabiki na wapita njia)au mali kuharibiwa wakati wa uchaguzi. Na yote haya yamechangiwa na matamko na lugha mbaya ambazo mashabiki wa wagombea uchaguzi wamekuwa wakitupiana.

Wao walitegemea nini wakati wanawajaza watu upepo kuwa kura zitaibiwa? Ovyo kabisa.

Amandla...
Kukiwa na maandamano au mikutano yao hili jukumu huwa linakufa? Kwanini iwe tofauti? Ndio unafiki huo anaouhoji
 
Ni kufuata mdundo wa bosi tu hata saivi akisema mkusanyiko huo ni haramu mabomu yanarindima.
Macho yote yako hapo, plus mabalozi, hawawezi kufanya hiyo move hata kama ni wajinga kiasi gani
 
HATUPELEKI CHAMA KWA MASHOGA - WANACHAMA WA CHADEMA

Katika uchaguzi mkuu wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sauti za wanachama na wajumbe zimetanda mithili ya wingu la mvua, wakiimba kwa nguvu, "Hatupeleki chama kwa mashoga."

Wimbo huo wa aina yake, umevuma kwa kujaza hewa nzito ya msimamo katika ukumbi huo wa uchaguzi.

Wanachama hao, wakiwa na hasira za dhahiri, wamepinga kwa sauti ajenda za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja, zinazotetewa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.

Wamesisitiza kuwa hawako tayari kupeleka chama kwa viongozi wanaotetea vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja kwa ujumla.

Kwa msimamo wa chuma, wameonesha kutokubaliana kabisa na ajenda hizo za kigeni, wakieleza kuwa hazina nafasi katika chama chao.

Wahenga hawakukosea waliposema, "Kila ndege huruka na mbawa zake mwenyewe," kwani tayari wanachama wa CHADEMA wameonesha msimamo wa kuzikataa mbawa za kigeni zilizoletwa na Lissu na genge lake

Kasuku
Januari 21, 2025
kutoka ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City - Dar es salaam
 
Wanachama wa Chadema wakiimba kwa sauti za juu kuwa hawaki viongozi wanaotetea mashoga katika ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City jijini Dar es salaam.
 
Attachments

  • ggggggggg.mp4
    44 MB
Kukiwa na maandamano au mikutano yao hili jukumu huwa linakufa? Kwanini iwe tofauti? Ndio unafiki huo anaouhoji
Mara ngapi Lissu ameshukuru hadharani uwepo wa polisi katika mikutano ya CDM. Mara ngapi tumeona polisi wakiwepp wakati wa maandamano. Leo ndio mnajifanya mlikuwa hawaoni?

Huo ni unafik mkubwa. Nitamuelewa kama alikuwa na lengo la kufanya fujo na anaona uwepo wa polisi utamdhibiti. Huyu na wengi kama yeye wameonyesha unafik wao katika uchaguzi huu. Wao wanaamini popularity yao twitter ndio popularity yao on the ground.

Chadema inahitaji wapambanaji kama Aisha Madoga ambao wote tulimuona akipambana waziwazi wakati wa uchaguzi. Sio hawa keyboard warriors ambao walijificha wakati wa maandamano.

Amandla...
 
Wanachama wa Chadema wakiimba kwa sauti za juu kuwa hawaki viongozi wanaotetea mashoga katika ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City jijini Dar es salaam.
Ili la mashoga kukumbatia wazungu ndio shida yake!!! Wekemeee ushoga adhalani sio wanawaogopa wazungu!!! Wanaowafadhili!!!!!!
 
Wakuu,

Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?

"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini?

"Wakati hawa Polisi Serikali huwa wanawatuma kuja kutupiga mabomu na virungu kwenye maandamano na mikutano?"

Pia soma: Pre GE2025 - CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa
tuna jambo letu kwa manufaa ya taifa hapo, mnapoandamana virungu muhimu kwakuwa mnahatarisha usalama wa wengine watulivu wa ccm
 
Wanachama wa Chadema wakiimba kwa sauti za juu kuwa hawaki viongozi wanaotetea mashoga katika ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City jijini Dar es salaam.
Ili Dongo la lalasalama!! Siasa ngumu sana! Ngoja niendeleee kuandaa shamba langu kwaajili ya ufuta!!!! Kufikia kesho awe ashapatiikana Mwenyekiti mpya, na tusisikie nani katekwa!!!!
 
Back
Top Bottom