mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu.
Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende zetu baridi ndani, huku tukionyesha ushujaa uchwara nyuma ya ID fake humu JF.
Lakini kadiri Siku zinavyokwenda mnazidi kupoteza kuaminika kwenu. Mmekua mkitoa taarifa nyingi za uzushi, Lakini kama iyo haitoshi mmekua mkiamisha ajenda na mijadala muhimu ya Watanganyika dhidi ya ccm kwa kuleta taarifa na ajenda mpya Tena za uongo na zisizothibitishwa.
Wew Maria Sarungi umekua kama mgonjwa wa akili , unarusha taarifa mpaka za vijiwe vya kahawa, mare KIKWETE Yuko hoi, mara samuya kavuta shuka , mara this ,mara that na yote unaturisha matango pori .Jitathimini.
Same to you Hilda Newton, umekua ukikurupaka n kudandia masuala mbalimbali na mwisho wa Siku umeishia kutupotosha .Na mara nyingi mmeishia kupingana nyinyi kw nyinyi. Kama sio ujuha ni nin?Sio lazima uonekane katika Kila jambo.
Ebu tulizeni viherehere , jipangeni na muwe mnatupa taarifa za uhakika na zilizothibitika. Tofauti n hapo nafikiri Watanganyika tutaanza kuwadharau na kuwaona kama wagonjwa wa akili ambao mnalipwa ili tu kuandika chochote.
MJITAFAKARI!