mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nikweli mkuu , yaani mtu unajipanga kusherekea kifo cha mkwere. Ghafla unamuona eti anatoa speech..Maamae zaoNakumbuka pia Jan 5 uliwaonya waache kutoa fake news za kuokoteza okoteza
NAKAZIA HILI KWA MSISITIZO .Nami nachukua fursa hii kuwaomba mabinti hawa wajifunze kutoka kwa mwamba britanicca.
Binafsi Britannica nilikuwa namwona kamapiga ramli chonganishi, lakini sasa nimebadili mtazamo.
Ndugu yangu mwehu ndama, nimekusoma kwa makini sana. Kwanza nikupongeze kwa ujasiri wako wa kupasua jipu hili bila kupepesa macho. Maneno yako yanaweza kuonekana yana ukali au matusi kwa baadhi ya watu, lakini ukweli unaouzungumzia ni mchungu na ni ukweli unaopaswa kusemwa sasa hivi kabla harakati hizi hazijazikwa rasmi.Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu.
Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende zetu baridi ndani, huku tukionyesha ushujaa uchwara nyuma ya ID fake humu JF.
Lakini kadiri Siku zinavyokwenda mnazidi kupoteza kuaminika kwenu. Mmekua mkitoa taarifa nyingi za uzushi, Lakini kama iyo haitoshi mmekua mkiamisha ajenda na mijadala muhimu ya Watanganyika dhidi ya ccm kwa kuleta taarifa na ajenda mpya Tena za uongo na zisizothibitishwa.
Wew Maria Sarungi umekua kama mgonjwa wa akili , unarusha taarifa mpaka za vijiwe vya kahawa, mare KIKWETE Yuko hoi, mara samuya kavuta shuka , mara this ,mara that na yote unaturisha matango pori .Jitathimini.
Same to you Hilda Newton, umekua ukikurupaka n kudandia masuala mbalimbali na mwisho wa Siku umeishia kutupotosha .Na mara nyingi mmeishia kupingana nyinyi kw nyinyi. Kama sio ujuha ni nin?Sio lazima uonekane katika Kila jambo.
Ebu tulizeni viherehere , jipangeni na muwe mnatupa taarifa za uhakika na zilizothibitika. Tofauti n hapo nafikiri Watanganyika tutaanza kuwadharau na kuwaona kama wagonjwa wa akili ambao mnalipwa ili tu kuandika chochote.
MJITAFAKARI!
Well narrated mkuu wanatumika na CCM bila wao kujua wanatumikaNdugu yangu mwehu ndama, nimekusoma kwa makini sana. Kwanza nikupongeze kwa ujasiri wako wa kupasua jipu hili bila kupepesa macho. Maneno yako yanaweza kuonekana yana ukali au matusi kwa baadhi ya watu, lakini ukweli unaouzungumzia ni mchungu na ni ukweli unaopaswa kusemwa sasa hivi kabla harakati hizi hazijazikwa rasmi.
Kama Kijana wa Ifoza, ninalazimika kuunga mkono hoja yako kwa asilimia 100 kwa sababu ulichokisema ndicho kiini cha kile nilichopata kukiandika huko nyuma.
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa tarehe 10 July, nilichapisha makala yangu ya kimkakati hapa jukwaani yenye kichwa cha habari: "Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion." Katika andiko lile la tarehe 10 July, niliwatahadharisha wanaharakati wetu mapema sana kuhusu mtego huu huu unaoulalamikia leo. Nilieleza jinsi mfumo unavyotumia masalia ya wasaliti kuwalisha "mafamba" (habari za uongo) ili kuwateka akili na kuwapoteza maboya.
Leo hii, unapowaambia akina Maria Sarungi na Hilda Newton kuwa wanaturisha "matango pori" ya vijiwe vya kahawa, unathibitisha kuwa onyo langu la tarehe 10 July limekuwa kweli (prophecy fulfilled). Huu hapa ni uchambuzi wangu kukuunga mkono:
- Ugonjwa wa "Kiherehere" na Mtego wa Diversion:
Umesema kweli, sio lazima kuonekana katika kila jambo. Wanaharakati wetu wamepatwa na ugonjwa wa kutaka kuwa wa kwanza kutangaza habari za kushtua (breaking news). CCM wanajua udhaifu huu; kama nilivyobainisha tarehe 10 July, wanatengeneza tetesi za uongo (kama afya za viongozi au migogoro ya kufikirika), wanazitupa kama chambo, na akina Maria au Hilda wanazidandana bila kufanya uchujaji (filtration). Matokeo yake, wananchi wanahamishwa kwenye mijadala ya msingi ya kitaifa na kuanza kujadili uongo.- Kupingana Wenyewe kwa Wenyewe:
Kama ulivyobainisha, matokeo ya kukurupuka ni kuishia kupingana wao kwa wao jukwaani. Huku sio kupambana na mfumo dhalimu, huu ni ujuha unaotokana na kugeuzwa "mawakala wa bure" (useful idiots) wa propaganda za CCM bila wao wenyewe kujitambua. Wanatumika kuzima ajenda za Watanganyika.- Kupoteza Uaminifu (Credibility Crisis):
Hapa ndipo ulipogusa penyewe. Mtaji mkubwa wa mwanaharakati ni uaminifu wake kwa umma. Wananchi wakianza kuwaona akina Maria na Hilda kama "wagonjwa wa akili wanaolinda njaa zao au kulipwa kuandika chochote," adui atakuwa ameshinda vita. Lengo la CCM si kuwazuia msiandike, bali ni kuwafanya muandike uongo mwingi kiasi kwamba siku mkiandika ukweli, kusiwe na Mtanganyika hata mmoja atakayewaelewa—tahadhari ambayo niliitoa tangu tarehe 10 July.
Wito Wangu Kukuunga Mkono:
Nawasihi akina Maria Sarungi, Hilda Newton, na Mange Kimambi wasome kwa siri andiko lako na lile andiko langu la tarehe 10 July. Wajitafakari upya! Tulizeni viherehere, fanyeni kazi kwa weledi, na thibitisheni vyanzo vyenu vya habari kabla ya kuporomosha heshima ya harakati hizi.
Asante mwehu ndama kwa kuamsha huu mjadala. Umewashtua waliokuwa wamelala tangu mwezi July.
100%Wanaharakati wengi waliokosa muelekeo thabiti kama Maria Sarungi wameshindwa kujikita kwenye hoja za kimantiki, wanakwenda kwenye viroja vya kuongozwa na hasira na kisasi.
Inasikitisha sana, kwa sababu kuna mambo mengi ya nsingi wanaweza kusimamia, kwa kutumia mantiki, bila kuongozwa na hasira na kisasi.
Naelewa kuwa ni rahisi zaidi kutoa kauki za kihusia, za chuki, zisizojali mantiki, na oengine kauki hizo zinaweza kuvuta hisia za watu kirahisi.
Lakini, mwanaharakati makini hafanyi kitu kwa sababu ni kitu rahisi cha kufanya, ingekuwa hivuo Tundu Lissu asingekuwa jela sasa hivi.
Tundu Lissu did not choose the easy way out.
Mwanaharakati makini anafanya kitu sahihi, hata kama ni kigumu.
Inategemea na kiwango cha imani uliokua nayo juu ya mtu husika..Kuna mwingine akipuyanga mara moja tu unamvua vyeo vyotered line ya kupoteza credibility ni ipi?
ni Bora tujue tunasafari ndefu lakini tuwe katika mchakato sahihi..Na moja ya nyezo za mchakato sahihi ni taarifa sahihi ..Lakini Hawa wanaharakati ni kama wana ajenda Yao nyingineKuna siku akaunti ya Twitter ya "Tanzania Leaks" waliandika Jaji Warioba amefungiwa nyumbani kwake chini ya ulinzi.
Nilikuwa naona haya maneno yanajirudiarudia nikawa nayapuuzia tu, lakini, siku hiyo nikasema nisije kuwa napuuzia tu halafu kuna kitu kinatokea sijui.
Nikaamua kuitolea uvivu habari. Nikavunja mwiko wangu wa kuzungumzia siasa za Bongo na mwanangu mmoja wa familia.
Nikamcheki mtu wa familia, akaniambia mbona mzee yuko poa tu hana shida.
Nikasema kwenye sheria kuna kanuni ya "innocent until proven guilty", lakini kwa hawa wanaharakati naigeuza hii kanuni, inakuwa "guilty until proven innocent".
Kauli zao siziamini mpaka nithibitishe.
Sahihi mkuuHii nchi yote ni mufilisi kabisa ila hao uliwataja wajipime na kujirekebisha.
Mifano michache ya uozo kwa ujumla
1. Jeshiiii linasema Daktari kapigwa na wananchi wenye hasira kali, video inaonyesha tofauti.
2. Chsma cha madaktari wanasema yuko ICU, mwingine anaibuka na kuandika hajuliksni alipo.
3. Kubwa ni hiyo Kwete boy yu mahututi, mtu anaibukia kwa wawekezaji.
Tuna amini amini na kupokea mambo kirahisi rahisi sana. Hata hatujiongezi kidogo kupata ukweli.
Watu wsmetangaziwa kifo kimetokea Mzena Zanzibar, wanaa wakaibuka huyo VP hajui lolote waandaji wa tangazo wamekosea na yeye anasoma tu, bure kabisa - wakati ni kweli Zanzibar nako kuna hospitali ya Mzena.
Sasa tunapoanza kushindana nani anakua wakwanza kuandika jambo licha ya uhakika au ukweli wake, tunatengeneza matatizo makubwa zaidi.
Bora mtu atulie na kuthibitisha taarifa vizuri ndipo aende hewani.
Ukitoa taarifa mbili au tatu za uhahika kwa mwaka, thamani na hadhi yako inapanda mara dufu kuliko kutoa taarifa 1000 potofu zenye mihemko.
Naunga mkono hoja.
Je humu JF wamo hawa watu?Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu.
Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende zetu baridi ndani, huku tukionyesha ushujaa uchwara nyuma ya ID fake humu JF.
Lakini kadiri Siku zinavyokwenda mnazidi kupoteza kuaminika kwenu. Mmekua mkitoa taarifa nyingi za uzushi, Lakini kama iyo haitoshi mmekua mkiamisha ajenda na mijadala muhimu ya Watanganyika dhidi ya ccm kwa kuleta taarifa na ajenda mpya Tena za uongo na zisizothibitishwa.
Wew Maria Sarungi umekua kama mgonjwa wa akili , unarusha taarifa mpaka za vijiwe vya kahawa, mare KIKWETE Yuko hoi, mara samuya kavuta shuka , mara this ,mara that na yote unaturisha matango pori .Jitathimini.
Same to you Hilda Newton, umekua ukikurupaka n kudandia masuala mbalimbali na mwisho wa Siku umeishia kutupotosha .Na mara nyingi mmeishia kupingana nyinyi kw nyinyi. Kama sio ujuha ni nin?Sio lazima uonekane katika Kila jambo.
Ebu tulizeni viherehere , jipangeni na muwe mnatupa taarifa za uhakika na zilizothibitika. Tofauti n hapo nafikiri Watanganyika tutaanza kuwadharau na kuwaona kama wagonjwa wa akili ambao mnalipwa ili tu kuandika chochote.
MJITAFAKARI!
Hivi Maria, Chahali na Godbless si project ya JMK?Nikweli mkuu , yaani mtu unajipanga kusherekea kifo cha mkwere. Ghafla unamuona eti anatoa speech..Maamae zao
Hawawezi kukosa, sema watakua nyuma ya ID zingineJe humu JF wamo hawa watu?
ID zao zipi tuwa tag?
Naambiwa kuwa Maria Sarungi anaamini katika falsafa ya "uongo mtakatifu", kwamba the end justifies the means.Hii nchi yote ni mufilisi kabisa ila hao uliwataja wajipime na kujirekebisha.