Hilda Newton: Wakati natoka Dodoma kuja Dar, nilipanda treni. Nilimuona Mbowe akiwa na Mwigulu Nchemba

Hilda Newton: Wakati natoka Dodoma kuja Dar, nilipanda treni. Nilimuona Mbowe akiwa na Mwigulu Nchemba

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu

Soma pia: Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

==========

Anaandika Hilda Newton kwenye ukurasa wake wa X

mbowe.png
 
Mh, mbona hakuna LA ajabu halo, Mbowe amekuwa marafiki na Mwigulu Nchemba tangia kipindi kile cha Magufuli,

Ila nafikiri wanasiasa wote wakikutana mahali wanasalimiana, Lissu mwenyewe alikutana na Kikwete kwenye msiba wanasalimiana vizuri tu
Hata Lema amempongeza Kitila Mkumbo
 
Kuna habari ni za kijinga Sana,Mbowe ku karibu na Mwigulu kuna ubaya gani?

Hivi mpo kwenye SGR ,wewe kapuku unaweza kukaa na Mbowe au Mwigulu.

Lazima utakaa na kapuku wenzio.
Huku wale Elites wakikaa pamoja.

Na kwanini mnamuandama sana Mbowe Mzee wa watu anakosa Uhuru kwanini,kwahiyo siasa ni uadui kwamba Mbowe asiongee na mwanaCCM yeyote.

Childish post
 
Back
Top Bottom