Hilda Newton: Wakati natoka Dodoma kuja Dar, nilipanda treni. Nilimuona Mbowe akiwa na Mwigulu Nchemba

Hilda Newton: Wakati natoka Dodoma kuja Dar, nilipanda treni. Nilimuona Mbowe akiwa na Mwigulu Nchemba

Hahaha mwigulu ni waziri wa fedha lazima aende huko.

Ukikaa karibu na uwa ridi nawe utanukia.
 
Hawa ndo wapinzani tulio nao tanzania..
Na haya ndo mawazo ya wapinzani tulio nao..

WANACHAMA WA CDM, MSICHUKULIE SERIOUS SANA HIZI SIASA ZA TANZANIA..VIONGOZI WA JUU NDIVYO WALIVYO.
 
Wakati wa msiba wa kaka yake mbowe yule mwanajeshi, mbona magufuli alikuja nyumbani hapo salasala na kutoa pole kwa mbowe

Ova
 
Wakuu,

Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu

Soma pia: Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

==========

Anaandika Hilda Newton kwenye ukurasa wake wa X

View attachment 3433615
mbowe ndiye shahidi-mnemba wa siri kwenye kesi ya uhaini ya Tundu Lissu.

mwigulu nchemba anamsaliti hadi msingida mwenzake kisa madaraka ya kulevya.

Mungu yupo na atasimama na Tundu Lissu.
 
Ndiye Financier wa kijiwe kipya cha Mwamba!!
 
Wakuu,

Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu

Soma pia: Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba

==========

Anaandika Hilda Newton kwenye ukurasa wake wa X

View attachment 3433615
Kwa hiyo kosa hapa ni Mh. Mbowe na Mwigulu kuwaona wako pamoja kwenye Train ila ingekuwa kwenye Ndege fresh tu au vipi? Lakini pia SGR ni usafiri wa umma unaweza ukakata tiketi ukajikuta jirani yako ni Ex wako
 
Wamevunja kifungu cha ngapi cha sheria za nchi?
 
Back
Top Bottom