Mwigulu ni Mkenya?
So?
Huyo mjasiria siasa wala hata msimuwaze.Awahi chauma asione hayaWakuu,
Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa.
==========
Anaandika Hilda Newton kwenye ukurasa wake wa X
View attachment 3433615
Hakuna ubaya kwani siasa sio uadui lkn Mbowe amekosa imani kwa wanachama kwa matendo yakeIla siasa na uanarakati changamoto aisee!
Ubaya upo wapi abiria wakikutana kwenye chombo cha usafiri?
Mbow3 ndiye shahidi wa siri!Wakuu,
Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu
Soma pia: Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba
==========
Anaandika Hilda Newton kwenye ukurasa wake wa X
View attachment 3433615
Hata Lema amempongeza Kitila MkumboMh, mbona hakuna LA ajabu halo, Mbowe amekuwa marafiki na Mwigulu Nchemba tangia kipindi kile cha Magufuli,
Ila nafikiri wanasiasa wote wakikutana mahali wanasalimiana, Lissu mwenyewe alikutana na Kikwete kwenye msiba wanasalimiana vizuri tu
MashemejiMwigulu ni Mkenya?
ππππππMbow3 ndiye shahidi wa siri!
Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu
Sidhani kama ni dhambi, Mzee Mbowe ni mtu wa watu. Siasa sio UADUI japo CCM wanataka iwe hivyoWakuu,
Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu
Soma pia: Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba
==========
Anaandika Hilda Newton kwenye ukurasa wake wa X
View attachment 3433615
Mke wa mwigulu ni mchagga?Mashemeji