Hili bando nimenunua 35,000 gb 25 voda, nataka niirudishe hii hela online

Hili bando nimenunua 35,000 gb 25 voda, nataka niirudishe hii hela online

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Leo nimetoa shilling 35,000 kununua bando la internet Vodacom nikapata gb 25, hii hela inabidi izalishee hela nyingine kwa kupitia mtandao, nitaletaa mrejesho hapa
IMG-20211221-WA0003.jpg
 
Postpaid unaungwa ofisi za Tigo ama wakala wao kwa mara ya kwanza, halafu unaendelea mwenyewe kulipia kwa Tigopesa kila mwezi,

Labda kama kuna mwenye ujuzi namna ya kujiunga mwenyewe atupe.
Hii postpaid inafanyaje kazi?
 
Hii postpaid inafanyaje kazi?
Unatolewa huku kwa kawaida kwa kuunga vifurushi vidogo vidogo unapelekwa malipo baada.

Kila tarehe moja unapewa GB, Dakika na sms kadri unavyotaka na ndani ya siku 20 unatakiwa uwe ume deposit kiasi husika ulicho subscribe.

Vipo vifurushi vya 15000, 25,000, 30,000 mpaka malaki.

2780029_IMG-20210519-WA0015.jpg


Hii karatasi ya zamani kidogo vipo vyengine vimeongezwa kama 15000 gb 13
 
Back
Top Bottom