zeebaba
Senior Member
- Apr 17, 2018
- 180
- 211
Huko sahihi kabisa, mpaka afike duka la tigo au aonane Direct Sales Agent wa tigo kuna form atajaza za kuruhusu kubadilishwa kutoka Pre paid kwenda Postpaid kuna vifurushi atakavyoonyeshwa kulingana na mahitaji yake na kuweka down payment kwanza, risk yake ukichelewa kulipa kifurushi chako hawezi piga simu au kuweka vocha ya kawaida ili aendelee kutumia huduma zingine kama kawaida itamlazimu alipiwe kifurushi cha postpaid kwanza lkn simu zinaweza kuwa zinaingia tu.Postpaid unaungwa ofisi za Tigo ama wakala wao kwa mara ya kwanza, halafu unaendelea mwenyewe kulipia kwa Tigopesa kila mwezi,
Labda kama kuna mwenye ujuzi namna ya kujiunga mwenyewe atupe.