Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Mashabiki wa Ray vanny na wcb wana maneno hatariView attachment 531996
King of all social media
Cc Le Mutuz [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa Ray vanny na wcb wana maneno hatariView attachment 531996
tuzo ya insta south
kumbe asante kwa kunitoa tongotongoKwani tuzo ya BET ni big deal kihivyo?
Tuzo yenyewe ni ile ya kipengele kisicho na hadhi hata ya kuonyeshwa kwenye live show!
Shaking my damn head!!
Watoto wadogo hawa wajuzHuyo dogo ameimba nini wadau? Halafu kumlinganisha na Kiba si sahihi, hicho ki tuzo uchwara kisimpe kiburi
Kwani tuzo ya BET ni big deal kihivyo?
Tuzo yenyewe ni ile ya kipengele kisicho na hadhi hata ya kuonyeshwa kwenye live show!
Shaking my damn head!!
afu mbn ile tuzo siielewi nahis kma haipo kweny orodh yao mana juzi millard ametoa vipengel vyote lkn hicho cha rayvann hakija toka sas cjui imekaajeTuzo wanakabidhiwa nje nayo tuzo.....waache ushosg@ hao
Sidhani kama ni yeye... hao ni mashibiki wake tu naona walikua excited kupitiliza...Haka katoto kumbe nako ni kajinga ivi
Sasa hapo si wanamponda boss wao bila kujua hawa manyumbu, maana Diamond naye hajawahi kulamba bet