Hili bango ni live kwa kiba..

Hili bango ni live kwa kiba..

Ray van fall nymbo zake za sa hv zote mbovu
Kwani mondi ashachukua BET?
 
Sawa tumewasikia kuanzia Leo Raymond ndio atakuwa king
 
Ha
Kwani tuzo ya BET ni big deal kihivyo?

Tuzo yenyewe ni ile ya kipengele kisicho na hadhi hata ya kuonyeshwa kwenye live show!

Shaking my damn head!!
Hayo Ni maoni yako, na mawazo yako, na wao wana yakwao vile vile
 
Back
Top Bottom