Ushabiki wa kijinga kweli wa wanaume wa Dar, huyo Rayvanny alipokuwa anaomba kura hakusema anaomba za team Diamond watu wamepiga kura watz wote matokeo yake ndo hayo team kiba wanasimangwa siku nyingine wasipompigia mnaanza sema watu hawana uzalendo ohhh wana wivu hawapendi mafanikio,hivi vitu vinatakiwa kukemewa na wanamziki wenyewe.
Hata katika soka ndo maana simba na yanga hawashangiliani haa siku moja maana simba walimshangilia yanga kimataifa wakibeba kombe tu moja kwa moja wataanza kuwakejeli simba ...
Sijui nini kifanyike kuondoka huu ushabiki maandazi