Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Issue siyo kubaki na kete, isipokuwa ushindi ndo unatakiwa.

Kwa sababu wote wameshinda, kipimo kilichopo hapa ni kutumia muda mfupi zaidi.
Mkuu Kuna game za wa ukae hapo kete zingine hazikusukumwa kabisa zipo Kama zilivyo umeziona? Jamaa anashinda kwa kusukuma kete tisa tu!
Kwa muda sio siri Radicals yupo vizuri zaidi , ila huyo bin kulijua kweli analijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Draught inategemea na mbinu unazotumia, mimi mchezo wangu ni wa kushambulia sana , ukicheza mashambulizi ya kawaida au defensive game utabaki na kete nying tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom