Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Nilitumia akili kupata nguvu, au unazani kila mtu ana nguvu?Watu wanakimbilia level 100%.
Huyo inabidi aweke 12%, anafikiri draft ni kutumia nguvu badala ya akili.
50 namgonga ila 100 ndio ananipigaWeka level 20
Nimerecord mechi tatu nimecheza naye nimempiga zote najaribu kuupload naona inazingua size ni kubwa sana. Nadhani ingewasaidia ila inahitaji akili maana huyu usimpotega sana humfungiToa darasa
tufundishe mkuu..nataka Sana nijue copyInabidi nikupe darasa mbona mi siku hizi hanipi upinzani kabisa najipigia tuu
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa, dah, mkuu wewe umevunja rekodi. Hapo juu umeweka asilimia 0na jitangaza mshindi nimetumia sekunde 36 kushinda dalmaxView attachment 1453430
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anakupa tu utafune kete za burena jitangaza mshindi nimetumia sekunde 36 kushinda dalmaxView attachment 1453430
Sent using Jamii Forums mobile app
na jitangaza mshindi nimetumia sekunde 36 kushinda dalmaxView attachment 1453430
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa umetisha! you are very genius!!na jitangaza mshindi nimetumia sekunde 36 kushinda dalmaxView attachment 1453430
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengi ya hayo madraft hayana sheria za Tanzania. Ni madraft ya kindezi sana. Mfano unakuta umeingia king,halafu kuna kete yake inatakiwa iliwe either na king au kete yangu ya kawaida na mimi nakuwa nimetega kula kwa kete yangu isiyo king. Anakukatalia kula kwa kete ya kawaida anataka ule kwa king tu. Mwenye draft la sheria za Tanzania hilo lije
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba nifundishe broKuna copy moja akijichanganya ndo nampatia fasta fasta, ila mpaka aingie ni muda sana.