Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Kwakweli hata mm nimewahi kulishinda mara 3 mengine kama 100 nimechezea kipigo na kama 20 hivi nimeambulia sare.

Maana duhhhh linapiga hesabu za mbaliiii , ukiona linakupa kete ya bure usifikirie kabisa kuwa eti umelibana jua kipigo tayari.
Wewe jamaa umenikosha sana yaani ukiona tu linakupa kete ya bure hesabu umefungwaa
 
Baada ya kusoma huu uzi nikavutiwa kukutafuta hili game na nikaweka vigezo na mashart kuzingatiwa kama mtoa mada alivosema.

Kusema ukwel wangu
Kuanza nimeanza kucheza cjawah kushinda wala kupata droo, sasa hv lipo kwenye cm tuu nalipita kama silioni afu nashindwa ht kulifuta mana wachezaji wenzangu wa draft watanizomea
 
Shusha % Hadi 15,utanishukuru[emoji16]
Baada ya kusoma huu uzi nikavutiwa kukutafuta hili game na nikaweka vigezo na mashart kuzingatiwa kama mtoa mada alivosema.

Kusema ukwel wangu
Kuanza nimeanza kucheza cjawah kushinda wala kupata droo, sasa hv lipo kwenye cm tuu nalipita kama silioni afu nashindwa ht kulifuta mana wachezaji wenzangu wa draft watanizomea
 
You're all jobless, irresponsible young boys it seems. A responsible adult man can't waste his time playing online games.
 
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
Ahsante sana kwa taarifa. Nitakupa feedback nikipata muda wa kucheza
 
Back
Top Bottom