spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
[emoji23][emoji23][emoji23]Nalipataje la kulana mbele na nyuma?
Wewe jamaa umenikosha sana yaani ukiona tu linakupa kete ya bure hesabu umefungwaaKwakweli hata mm nimewahi kulishinda mara 3 mengine kama 100 nimechezea kipigo na kama 20 hivi nimeambulia sare.
Maana duhhhh linapiga hesabu za mbaliiii , ukiona linakupa kete ya bure usifikirie kabisa kuwa eti umelibana jua kipigo tayari.
Dalmax bado miguu yote ajamaliza ndugu.wala usimuamini dalmax maana kuna miguu haijui kabisa.ukikutana na bingwa uyo dalmax haonekani kwenye ramaniUnaweza kuwa mchezaji bora sana kupitia hii app, kama kuna copy inakusumbua unaweza kuiset ukajua namna ya kucheza.
mkuy,kumbe unatumia tecno
Baada ya kusoma huu uzi nikavutiwa kukutafuta hili game na nikaweka vigezo na mashart kuzingatiwa kama mtoa mada alivosema.
Kusema ukwel wangu
Kuanza nimeanza kucheza cjawah kushinda wala kupata droo, sasa hv lipo kwenye cm tuu nalipita kama silioni afu nashindwa ht kulifuta mana wachezaji wenzangu wa draft watanizomea
Ntafanya hvy bossShusha % Hadi 15,utanishukuru[emoji16]
Ahsante sana kwa taarifa. Nitakupa feedback nikipata muda wa kuchezaIngia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
what are you doing onlineYou're all jobless, irresponsible young boys it seems. A responsible adult man can't waste his time playing online games.
Watu kama nyie mnatusababishiaga ban za bureYou're all jobless, irresponsible young boys it seems. A responsible adult man can't waste his time playing online games.
Sijamaanisha kuwa ni mzuri kwenye kila kopi, ila ni sehem nzur ya kujifunzia kopi nyingiDalmax bado miguu yote ajamaliza ndugu.wala usimuamini dalmax maana kuna miguu haijui kabisa.ukikutana na bingwa uyo dalmax haonekani kwenye ramani
Maisha ni namna vile ulivyochagua wewe kuishi, kupenda au kuchukia kitu fulani kusikufanye uwalazimishe wengine wawe kama wewe,uho ni ubinafsi my sister. Easy[emoji16]You're all jobless, irresponsible young boys it seems. A responsible adult man can't waste his time playing online games.