Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.
na-download inagoma...
 
Jamaa napambana nae kila kukicha lakini bado ananishinda. Ile inahitaji tricks sana. Halafu kama anakusoma live ukicheza. Kanishinda yule!

Saa ingn nakubali iishe droo.
Huyo ni artificial intelligence kila ukiishinda inachukua techniques zako na pia inachukua techniques za watu wengine so unakuwa unacheza na watu kama 1000 kwa wakati mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na bado hapo hujaongeza power of computer kwenye probabilities ambayo in kokotoa njia za game iende ili awe mshindi [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 

Ukishali-download linakuwa liko offline, hizo communications hazipo, unabaki ni wewe na lenyewe tu.
 
Pia unapocheza kuna codes zinajiandika, naamini njia zipo coded huwezi kumshinda kizembe.
 
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…