Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.
La kifaransa ndiyo kiboko, kete mbili haziwezi kusogeleana kunapokuwa kuna uwazi kati yake. Nimeshasahua ni siku nyingi, nina revise halafu baadaye nitawaletea mrejesho. Sijafanikiwa kufunga hata goli moja lakini pia nafanya blunders kutokana na kuwa sijacheza siku nyingi. Ngoja kwanza blunders ziishe halafu ndiyo nitajua kama ninafungwa kihalali ama la. Tatizo ninalolipata ni kwamba ana algorithm ndeefu sana na anachukua muda mrefu sana kucheza kete, wakati mwingine zinakaribia dakika mbili, wakati mimi sipitishi hata sekunde tano. Asubiri dawa yake iko jikoni, kwa sasa bado anaendelea kunifunga ila pia nafanya blunders!
Hili nimelipenda zaidi na linatumia kete 40 badala ya 24. Kila mchezaji ana mistari minne yenye kete tano kila mstari. La kawaida huwa ni mistari mitatu yenye kete nne kila mstari kwa kila mchezaji
 
Jamani tuache exaggregation. Huyo dalmax anacheza aina gani ya draft? Jamani Draft ni French haya mengine ni maigizo tu
 
Brazilian Rules kwenye Dalmax ni french, nadhani hata Russian pia.

Nenda kacheze utuletee majibu.
Kete 20 kwa 20 sometimes namtandika supa. Tahadhari ni kuwa unatakiwa uhakikishe kuwa hakupunji kete mwanzoni. Mara nyingi ananifunga lakin, siyo mtu ni kompyuta. Tatizo tu ni kwamba akishaingia King anakuwa slow, algorithm anayotumia inakuwa ni ndefu maana inabidi aangalie possibilities zote mpaka ziwe aziexhaust!
 
Cheza draft la kawaida, 12 by 12 Tanzanian Rules, acha kutafuta urahisi.
 
Cheza draft la kawaida, 12 by 12 Tanzanian Rules, acha kutafuta urahisi.
Hujanielewa. Ninalocheza mimi ndiyo the most diffucult draft duniani, na siyo Tanzania tu. Hili unaloongelea hapa wewe wanacheza watu wanaojifunza draft. Rules French, 20 by 20, setting Most Difficult, halafu unacheza na Kompyuta, siyo mtu
 
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.
Then usichojua hizo system za dalmax Tanzania zimependekezwa na mbongo wa hapahapa tu.
Sasa huyo jamaa sijui ni wamoto kiasi gani!
 
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.

Nipo namnyoosha dalmax wako hapa, hichi kipigo kinaitwa mwanaukome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…