Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Ila mabingwa wanamsemaje dalmax, anawasumbia nn?Download version mpya, ni mkali sana huyu wa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mabingwa wanamsemaje dalmax, anawasumbia nn?Download version mpya, ni mkali sana huyu wa sasa
Ila mabingwa wanamsemaje dalmax, anawasumbia nn?
La kifaransa ndiyo kiboko, kete mbili haziwezi kusogeleana kunapokuwa kuna uwazi kati yake. Nimeshasahua ni siku nyingi, nina revise halafu baadaye nitawaletea mrejesho. Sijafanikiwa kufunga hata goli moja lakini pia nafanya blunders kutokana na kuwa sijacheza siku nyingi. Ngoja kwanza blunders ziishe halafu ndiyo nitajua kama ninafungwa kihalali ama la. Tatizo ninalolipata ni kwamba ana algorithm ndeefu sana na anachukua muda mrefu sana kucheza kete, wakati mwingine zinakaribia dakika mbili, wakati mimi sipitishi hata sekunde tano. Asubiri dawa yake iko jikoni, kwa sasa bado anaendelea kunifunga ila pia nafanya blunders!Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.
katika simu yangu ya mwanzo dalmax alikuwa mkali balaa. Sasa majuzi nimelidownload (updated) kwa simu nyengine yaani kawa mlaini sana.Download version mpya, ni mkali sana huyu wa sasa
Jamani tuache exaggregation. Huyo dalmax anacheza aina gani ya draft? Jamani Draft ni French haya mengine ni maigizo tu
Kete 20 kwa 20 sometimes namtandika supa. Tahadhari ni kuwa unatakiwa uhakikishe kuwa hakupunji kete mwanzoni. Mara nyingi ananifunga lakin, siyo mtu ni kompyuta. Tatizo tu ni kwamba akishaingia King anakuwa slow, algorithm anayotumia inakuwa ni ndefu maana inabidi aangalie possibilities zote mpaka ziwe aziexhaust!Brazilian Rules kwenye Dalmax ni french, nadhani hata Russian pia.
Nenda kacheze utuletee majibu.
Kete 20 kwa 20 sometimes namtandika supa. Tahadhari ni kuwa unatakiwa uhakikishe kuwa hakupunji kete mwanzoni. Mara nyingi ananifunga lakin, siyo mtu ni kompyuta. Tatizo tu ni kwamba akishaingia King anakuwa slow, algorithm anayotumia inakuwa ni ndefu maana inabidi aangalie possibilities zote mpaka ziwe aziexhaust!
Hujanielewa. Ninalocheza mimi ndiyo the most diffucult draft duniani, na siyo Tanzania tu. Hili unaloongelea hapa wewe wanacheza watu wanaojifunza draft. Rules French, 20 by 20, setting Most Difficult, halafu unacheza na Kompyuta, siyo mtuCheza draft la kawaida, 12 by 12 Tanzanian Rules, acha kutafuta urahisi.
Hujanielewa. Ninalocheza mimi ndiyo the most diffucult draft duniani, na siyo Tanzania tu. Hili unaloongelea hapa wewe wanacheza watu wanaojifunza draft. Rules French, 20 by 20, setting Most Difficult, halafu unacheza na Kompyuta, siyo mtu
Tupe copy za kibigwa mwana
NJoo kinondoni manyanya kesho ulizia dogo sisco.....utakutana na wabis wengine paleHahahah mi nimetoa droo mbili sifungwi kizembe namtaka bingwa wa dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisco AKA comando kipensi, mkali wa ngoma (tege). Dogo anajya sana.N
NJoo kinondoni manyanya kesho ulizia dogo sisco.....utakutana na wabis wengine pale
Then usichojua hizo system za dalmax Tanzania zimependekezwa na mbongo wa hapahapa tu.Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.
Nalipataje la kulana mbele na nyuma?
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft.
Kumbahatisha moja au mbili ni kawaida.View attachment 2515301
Nipo namnyoosha dalmax wako hapa, hichi kipigo kinaitwa mwanaukome.
Nimeingia huko,nimewafumua hatari.PlayOK - Play Tanzanian Draughts Online Free, TZ draughts
www.playok.com
Humo kuna mwamba wa kuitwa Mkulima, mabingwa wote unaowajua wamekaa.