Kwa sasa huyu jamaaa amekuwa kibonde sana kwanguView attachment 1443040View attachment 1443041
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbele na nyuma weka setting Frenc/France rulesNalipataje la kulana mbele na nyuma?
Vunjeni hii, mkiweza nitawapikia rekodi mpya ambayo ni deadly, namkalisha dalmax ndani ya sekunde 60View attachment 1443699
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya nawapa muda, nadhani wanahangaika sasaUmetisha mkuu.
Hili kombe linaelekea kuwa gumu.
Tusubiri record zingine kutoka kwa wadau.
Nimeweka rekodi mbili mpya hapo ya dk 1.25 na ya dk 1.9Umetisha mkuu.
Hili kombe linaelekea kuwa gumu.
Tusubiri record zingine kutoka kwa wadau.
Sasa nataka kuivunja records yako ya do 1:09 muda si mrefu utajua kuwa kuna watu hatuna utani kwenye michezo hiiView attachment 1444139View attachment 1444140
Sent using Jamii Forums mobile app
kete anazobaki nazo wa ukae baada ya kushinda ni ushahidi kuwa analijua draft