Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kifaa Cha kuchujia sauti unapokuwa unaingiza vocalNaombeni msamaha sijasalimia.
Mwenye kujua kwa kina matumizi ya hili dude chini na hiyo kamba iliyoning'inia kazi yake ni ipi. Leo nisijeharibu vitu vya watu kwakutokujua. View attachment 2251198
Dah......mie kanichanganya zaidi....Hilo dude mie nililikuta sebuleni likanichanganya 🤣🤣🤣🤣Wakuu njooni mumjibu hachelewi kuzira huyu
Msaada jamaniDah......mie kanichanganya zaidi....Hilo dude mie nililikuta sebuleni likanichanganya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha utani bc ebu hujui kama kimyaKifaa Cha kuchujia sauti unapokuwa unaingiza vocal
Wewe hujuiWakuu njooni mumjibu hachelewi kuzira huyu
Kama hujui kazi yake kwani lazima ukomentiiii??Ndio umeoneshwa kuwa huko ni chooni?Ondoka haraka hakupendi huyo aliyekuonesha
Tufanye sinki hilo nimepiga picha saizi chooni, Aya Sasa mzigo nimeshusha kwakua Sina maji kwenye ndoo inamana Kuna kipi hasa kinakuja kusukuma huu mzigoHilo dude kazi yake Ni kwa ajili ya kufurashi chooni ukienda malawitoni baadala ya kubeba ndoo ya maji na kopo Hilo dude limebeba maji ndani kabla au maada ya kushusha mzigo Kuna sehemu unabonyeza kwa juu hapo maji yanatoka na kusukuma uchafu wako kwenda kwny shimo taka,
Heshimu utu wako watu wasije wakaanza kukupuuzaHiyo kamba imewekwa kwa mtu ambaye ana mawazo ya kununua Mbuzi wakati anashusha vitu.
HahahaaaaKifaa Cha kuchujia sauti unapokuwa unaingiza vocal
Wote naona hamuwezi kuwa walimu, maana kuelewesha na kuelekeza hamji mnapuyanga tuIwapo maji yapo au yanatoka bombani,ukimaliza kujisaidia haja kubwa unavuta hiyo kamba kuna maji yatatoka kwenye sink na kwenda na uchafu.