Yaani weye!! Zee zima! eti naweye ni Baba! una minywele kila Mahali kabisaaa!! tena zimesha badika rangi! ...unakwenda chooni kwangu unajikalia vizuri, unachomoa mjisimu wako wa Nokia ya kitochi mfukoni!
unaanza kupiga picha uchi kabla hujachamba nyaa? unairusha hewani ? kweli?.....Uondoke urudi kwenu kijijini, nayasema haya kwakuwa choo kina camera tumekuona ondoka bana urudi kijijini!
nyie kuwajua ni rahisi sana ndo mnachambiaga kuta za choo nyie! mnajulikana kirahisi tu! tena unarudi kabisaaa nieleweeesheee!...kifupi nimekuona sana!! ondoka kwangu sina mengi!