Hili dude nimelikuta chooni sijui kazi yake

Hili dude nimelikuta chooni sijui kazi yake

Water cistern hiyo, hiyo kamba ukiivuta chini kuna piston kwa ndani itapanda juu na kuruhusu maji kushuka kupitia hilo bomba jeupe hapo kwa ajili ya kuflashi jivi kwenye tundu la choo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.
 
images%20(64)_1.jpg
 
Yaani mtu nimejitolea kukuelekeza badala uulize hujaelewa nini, wewe unakejeli. basi baki na dude lako.
Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.
images%20(64)_1.jpg
 
Tufanye sinki hilo nimepiga picha saizi chooni, Aya Sasa mzigo nimeshusha kwakua Sina maji kwenye ndoo inamana Kuna kipi hasa kinakuja kusukuma huu mzigo View attachment 2251230
Hiyo pipe inayoshuka chini imeenda moja kwa moja kuunganishwa na sink la choo kwa nyuma hivi, ambapo kwenye hilo sink la choo kuna inlet inayoruhusu maji kupita na kuflashi sehemu yote ya ndani sink.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.View attachment 2251240
Ilo sinki lina sehemu mbili, moja hiyo yenye maneno meusi na nyingine hapo ambapo mzigo unakaa. zinapounganika hizo sehemu kuna space ambazo huwezi kuziona direct ndipo ambapo maji hutokea baada ya kuvuta hiyo kamba kwenye lile dude iwapo tu maji yapo.
 
Aulizaye anataka kujua... Dude la namna hiyo nililiona mara ya kwanza kwa mchungaji mmoja kutoka Australia. Nilikuwa na miaka sita wakati huo na nilihitaji kuitika wito wa kulenga shabaha kwenye matundu tuliyoyzoea. Hamad!... Kufika chooni dude la chuma limening'inizwa kwa juu huku mnyororo wa kuvutia ukiwa pembeni yake. Baada ya kuona sielewi somo nilimvaa baba yangu anieleweshe nafanyaje sasa? Mwenyeji wetu akatoa somo nikalielewa. Baada ya kushusha mzigo na kutawadha, nikavuta mnyororo pembeni...Lahaullah! Dude liliunguruma kwa presha kali huku maji yakisafisha mzigo wote kwenda kuzimu, mimi mbio... kwa hofu niliyoipata. Mpaka napata Akili sawa sawa nilikiwa naviogopa sana vyoo vyenye madude ya aina hiyo..... Angalau siku hizi vimeboreshwa ukilinganisha na vilivyo kuwapo miaka ya sitini.😎
 
Yaani wakulima bana! mna kazi kweli kweli!! kabisaaa!! umeanza rasmi kutumia hii kwa mara ya kwanza,umeona sasa ndo mda sahihi wa kuwakoga wenyeji wa mBagala na mipicha hii??

sikia sasa hizo ni cemchemi za mjini chota maji kwa chemchemi hiyo hapo chini! pigia mswaki kwanza!! ukimaliza tuta kwambia kinacho fuata! sawa?
 
Aulizaye anataka kujua... Dude la namna hiyo nililiona mara ya kwanza kwa mchungaji mmoja kutoka Australia. Nilikuwa na miaka sita wakati huo na nilihitaji kuitika wito wa kulenga shabaha kwenye matundu tuliyoyzoea. Hamad!... Kufika chooni dude la chuma limening'inizwa kwa juu huku mnyororo wa kuvutia ukiwa pembeni yake. Baada ya kuona sielewi somo nilimvaa baba yangu anieleweshe nafanyaje sasa? Mwenyeji wetu akatoa somo nikalielewa. Baada ya kushusha mzigo na kutawadha, nikavuta mnyororo pembeni...Lahaullah! Dude liliunguruma kwa presha kali huku maji yakisafisha mzigo wote kwenda kuzimu, mimi mbio... kwa hofu niliyoipata. Mpaka napata Akili sawa sawa nilikiwa naviogopa sana vyoo vyenye madude ya aina hiyo..... Angalau siku hizi vimeboreshwa ukilinganisha na vilivyo kuwapo miaka ya sitini.[emoji41]
Asante kwa rejea, Aya nieleweshe na mimi
 
Yaani wakulima bana! mna kazi kweli kweli!! kabisaaa!! umeanza rasmi kutumia hii kwa mara ya kwanza,umeona sasa ndo mda sahihi wa kuwakoga wenyeji wa mBagala na mipicha hii??

sikia sasa hizo ni cemchemi za mjini chota maji kwa chemchemi hiyo hapo chini! pigia mswaki kwanza!! ukimaliza tuta kwambia kinacho fuata! sawa?
Nieleweshe
 
Back
Top Bottom