Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #21
Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.Water cistern hiyo, hiyo kamba ukiivuta chini kuna piston kwa ndani itapanda juu na kuruhusu maji kushuka kupitia hilo bomba jeupe hapo kwa ajili ya kuflashi jivi kwenye tundu la choo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima ukomentiiii mkuuAc Hiyo Ukivuta kamba Ndio unawasha,Unakula kiyoyozi huku Unashusha mzigo.
Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.Water cistern hiyo, hiyo kamba ukiivuta chini kuna piston kwa ndani itapanda juu na kuruhusu maji kushuka kupitia hilo bomba jeupe hapo kwa ajili ya kuflashi jivi kwenye tundu la choo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.Water cistern hiyo, hiyo kamba ukiivuta chini kuna piston kwa ndani itapanda juu na kuruhusu maji kushuka kupitia hilo bomba jeupe hapo kwa ajili ya kuflashi jivi kwenye tundu la choo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinipangie!!Sio lazima ukomentiiii mkuu
Yaani mtu nimejitolea kukuelekeza badala uulize hujaelewa nini, wewe unakejeli. basi baki na dude lako.Wote naona hamuwezi kuwa walimu, maana kuelewesha na kuelekeza hamji mnapuyanga tu
Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.Yaani mtu nimejitolea kukuelekeza badala uulize hujaelewa nini, wewe unakejeli. basi baki na dude lako.
Hiyo pipe inayoshuka chini imeenda moja kwa moja kuunganishwa na sink la choo kwa nyuma hivi, ambapo kwenye hilo sink la choo kuna inlet inayoruhusu maji kupita na kuflashi sehemu yote ya ndani sink.Tufanye sinki hilo nimepiga picha saizi chooni, Aya Sasa mzigo nimeshusha kwakua Sina maji kwenye ndoo inamana Kuna kipi hasa kinakuja kusukuma huu mzigo View attachment 2251230
Ilo sinki lina sehemu mbili, moja hiyo yenye maneno meusi na nyingine hapo ambapo mzigo unakaa. zinapounganika hizo sehemu kuna space ambazo huwezi kuziona direct ndipo ambapo maji hutokea baada ya kuvuta hiyo kamba kwenye lile dude iwapo tu maji yapo.Tundu ni hili hapa la Choo haya tufanye hii rangi ya kijani ndo mzigo. Sina ndoo ya chooni je hilo dubwasha linausukuma vipi mzigo udumbukie kwenye tundu na kuzama ndani ya shimo?.View attachment 2251240
Asante kwa rejea, Aya nieleweshe na mimiAulizaye anataka kujua... Dude la namna hiyo nililiona mara ya kwanza kwa mchungaji mmoja kutoka Australia. Nilikuwa na miaka sita wakati huo na nilihitaji kuitika wito wa kulenga shabaha kwenye matundu tuliyoyzoea. Hamad!... Kufika chooni dude la chuma limening'inizwa kwa juu huku mnyororo wa kuvutia ukiwa pembeni yake. Baada ya kuona sielewi somo nilimvaa baba yangu anieleweshe nafanyaje sasa? Mwenyeji wetu akatoa somo nikalielewa. Baada ya kushusha mzigo na kutawadha, nikavuta mnyororo pembeni...Lahaullah! Dude liliunguruma kwa presha kali huku maji yakisafisha mzigo wote kwenda kuzimu, mimi mbio... kwa hofu niliyoipata. Mpaka napata Akili sawa sawa nilikiwa naviogopa sana vyoo vyenye madude ya aina hiyo..... Angalau siku hizi vimeboreshwa ukilinganisha na vilivyo kuwapo miaka ya sitini.[emoji41]
NielewesheYaani wakulima bana! mna kazi kweli kweli!! kabisaaa!! umeanza rasmi kutumia hii kwa mara ya kwanza,umeona sasa ndo mda sahihi wa kuwakoga wenyeji wa mBagala na mipicha hii??
sikia sasa hizo ni cemchemi za mjini chota maji kwa chemchemi hiyo hapo chini! pigia mswaki kwanza!! ukimaliza tuta kwambia kinacho fuata! sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mpwayungu village mbona hio kitu ilifika Kijijini mpwayungu kitambo tu. ....au ulikuwa hujazaliwa?
Hongera kwa kupata Choo mkuu!Naombeni msamaha sijasalimia.
Mwenye kujua kwa kina matumizi ya hili dude chini na hiyo kamba iliyoning'inia kazi yake ni ipi. Leo nisijeharibu vitu vya watu kwakutokujua. View attachment 2251196