Hili dude nimelikuta chooni sijui kazi yake

Hiyo pipe inayoshuka chini imeenda moja kwa moja kuunganishwa na sink la choo kwa nyuma hivi, ambapo kwenye hilo sink la choo kuna inlet inayoruhusu maji kupita na kuflashi sehemu yote ya ndani sink.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anafaa kuwa mwalimu, ameelekeza vizuri nimeenda kutest ni kweli.
 
Nieleweshe
Yaani weye!! Zee zima! eti naweye ni Baba! una minywele kila Mahali kabisaaa!! tena zimesha badika rangi! ...unakwenda chooni kwangu unajikalia vizuri, unachomoa mjisimu wako wa Nokia ya kitochi mfukoni!

unaanza kupiga picha uchi kabla hujachamba nyaa? unairusha hewani ? kweli?.....Uondoke urudi kwenu kijijini, nayasema haya kwakuwa choo kina camera tumekuona ondoka bana urudi kijijini!

nyie kuwajua ni rahisi sana ndo mnachambiaga kuta za choo nyie! mnajulikana kirahisi tu! tena unarudi kabisaaa nieleweeesheee!...kifupi nimekuona sana!! ondoka kwangu sina mengi!
 
Hilo storage ya maji. Na hiyo kamba unaivuta baada ya kumaliza kushusha mizigo yako hivyo kuruhusu maji toka katika hilo box na Ku flash habari yako uloitua hapo
 
Nipo mkoa gani mbona kama kweli [emoji23]
 
Hilo storage ya maji. Na hiyo kamba unaivuta baada ya kumaliza kushusha mizigo yako hivyo kuruhusu maji toka katika hilo box na Ku flash habari yako uloitua hapo
Kwahiyo kabla ya kunya inabidi hili sanduku nilijaze maji
 
Jf ya watu wanaojielewa ilikuwa miaka ya 2014 kurudi nyuma saiz school boys ndo wengi
 
Umetisha….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…