Hili gogo kwa huyu Mwanajeshi lina kazi gani?

Hili gogo kwa huyu Mwanajeshi lina kazi gani?

Kuonyesha umahili wa kuweza kubeba vitu vizito na kuendelea na kazi..., mfano mwenzake kaumia na majeruhi kuliko kumuacha ashikwe awe interrogated au kumuua anaweza kuondoka nae katika eneo la hatari...

Anyway hayo ni maonesha kwahio tegemea entertainment more than reality....
 
Back
Top Bottom