Hili goli Yanga imenunua bei gani kwa Mwadui

Waache wanunue, nina hamu nao sana hao, tena hatua ijayo kama wasipopangwa na Simba wakikosa pesa za kununulia goli waseme nitawachangia, safari hii hakuna kukimbia.
 
Waache wanunue, nina hamu nao sana hao, tena hatua ijayo kama wasipopangwa na Simba wakikosa pesa za kununulia goli waseme nitawachangia, safari hii hakuna kukimbia.
Watakutana na biashara utd,sijamuelewa goalkeeper alitaka kufanya kitu gani!
Anyway ndiyo magoli yao utopolo..
 
Kipa kaupiga mwingi sana tungewapiga hata 5
 
We baki kwenye siasa huku unatoa maboko sana
 
Haya magoli ya Ajabu Ajabu au penati za Ajabu Ajabu vitu hivi vipo sana mpaka ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…