OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakutana na biashara utd,sijamuelewa goalkeeper alitaka kufanya kitu gani!Waache wanunue, nina hamu nao sana hao, tena hatua ijayo kama wasipopangwa na Simba wakikosa pesa za kununulia goli waseme nitawachangia, safari hii hakuna kukimbia.
Ni kama yale ya Keizer Chiefs.Watakutana na biashara utd,sijamuelewa goalkeeper alitaka kufanya kitu gani!
Anyway ndiyo magoli yao utopolo..
Kipa kaupiga mwingi sana tungewapiga hata 5
Yanga wana njaa hawana hela kabisa
kwa sababu nimeisema Yanga? 🤣🤣🤣We baki kwenye siasa huku unatoa maboko sana
sio Boko yule alikuwa kipa wao alicheza yanga BHili boko balaa😀😀