Hili group la damu linanitesa sana, naomba ushauri

Unatumia net mkuu!?isijiekua hutumii net af unalalamika malaria deileeee
Kwani net inazuia malaria?? Kuna muda hayo magonjwa huwa yanafululiza tu sijui kwanini?
Kuna wakati malaria ilijitesa sana, karibia kila mwezi ilikuwa lazima niumwe malaria...

Nilihangaika sana na kila aina ya dawa ja mwisho nikaja kupona kwa dawa ya elf 5, sijaumwa malaria hapa toka 2014.

Ila cha ajabu tatizo limehamia kwenye tuphoid sijui wap nitapata tiba yake!!
 
Nimekusoma je ndio mnaweza ikawa sababu ya kushindwa kuhimili ugonjwa kutopona na kujirudia mara mwa mara?

Mimi Pia Nina Kundi kama hilo (AB+) na Nina miaka3 sasa sijaugua ugonjwa wowote ule..kundi la damu halihusiani na kuumwa kwake..kuna sababu nyingi za kiroho ambazo nikianza kutaja hapa sitamaliza
 
Aisee kweli binadamu tunatofautiana,me nna kundi la damu km hilo AB+ kila siku me npo kazini,tangu mwaka 2011 hakuna siku nimepumzika kwa sababu ya kuumwa. Yaani hata mafua tu nikihisi yanataka kunikaba,nikila machungwa tu,ndo kwa heri mafua. Pole sana utakuwa na mengine nje ya hisia zako. Me ni mmoja wa binadamu anayeishi Tz hajawahi kutibiwa malaria....!
 
Tarehe 12/9/2017 nilienda hospital kufanya check up miongoni nikachek na group la damu nikambiwa ninayo o+, hivi makaribuni kuna mtu alikuwa yupo hospital anahitaji damu kwahiyo mimi nikapigiwa simu ikiwa itawezekana nichangie damu ili aingizwe kama inafaa/ kuendana damu. Nilipofika hospital nikaingia chumba cha maabara wakinipima madaktar wakanambia ninayo group Ab+ kwahiyo mimi hapo nikapigwa nibutwa kwa sababu group langu halisi silijui. nyinyi watalamu wa afya jee kuna ubadilikaji wa group la damu?
 
Hili jamaa ni lisumbufu na huenda halijui chochote linataka liambiwe AB ndo lilivyokalili.

Acha kulimbuka wewe jambo la msingi limeulizwa unaleta vitabia vya hnenda fb na kama hujui kwan lazma uchangie???
Wewe ni shoga?
 
Hisia zangu ni kuwa labda group hili halina uwezo wa kukabiliana na maradhi.
Vitu vinavyopigana na Maradhi ni White Blood Cells siyo Group lako la Damu...

Group la Damu linatokana na Red blood cells kwahy ni imani potofu kuwa Group fulan lina magonjwa kuzidi lingine
 
Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Nitafute nipate kukutibia Damu yako ipo chafu ndio maana unauguwa kila mara na ukipima maradhi hayaonekani.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
mkuu mimi nina AB+ magonjwa si kila mara sema mziki ni mafua tena makali mpaka homa, vumbi kidogo lazima niugue
 
Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
CD4 zako zipo hoi
 
Dr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Hakuna blood group kama hili, duniani Labda AB not A+B na hapo inategemeana Rhesus yako ni positive ama negative.
 
Dr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Blood groups kuna group A, B, AB(A+B)-bila shaka hii ndio aliyoimaanisha mtoa thread, na kuna group O(universal donor)
 
Blood group A+B?????kwi!kwi!kwi!View attachment 686098
Acha upuuzi, muweke mwenzako sawa na sio kumcheka, ukimueleza vizur mbona ataelewa tu, kama angekubishia hapo sawa, umamluki sio mzuri umejenga mazoea, chekea vyote ila sio kumcheka mtu anayekuja kukueleza shida zake huku akiwa amekosea kitu fulani, muweke sawa tu then msaidie.
hata ikiwa inachekesha kivipi sio uungwana kuchekea mtu mwenye shida
 
Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
chukua vikaratasi viandike blood group A with rhesus factor R H+ af vimeze uvitafune!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…