Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 754
- 432
- Thread starter
- #41
Mshukuru MunguMbona na mimi nina AB+? Sina shida hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshukuru MunguMbona na mimi nina AB+? Sina shida hiyo?
Kwani net inazuia malaria?? Kuna muda hayo magonjwa huwa yanafululiza tu sijui kwanini?Unatumia net mkuu!?isijiekua hutumii net af unalalamika malaria deileeee
Nimekusoma je ndio mnaweza ikawa sababu ya kushindwa kuhimili ugonjwa kutopona na kujirudia mara mwa mara?
Labda ni AB anamaanishaHuyo dokta ni wa zahanati ipi?
Alikupima dokta au mtaalamu wa maabara?
Hahahahhaha babuTangu nizaliwe sijawahi kusikia group hili la damu... A+B???
Hebu kacheki isije ikawa walichukua sample ya damu ya kuku....
Sky Eclat hebu ukuje unisaidie huku...
Wewe ni shoga?Hili jamaa ni lisumbufu na huenda halijui chochote linataka liambiwe AB ndo lilivyokalili.
Acha kulimbuka wewe jambo la msingi limeulizwa unaleta vitabia vya hnenda fb na kama hujui kwan lazma uchangie???
Vitu vinavyopigana na Maradhi ni White Blood Cells siyo Group lako la Damu...Hisia zangu ni kuwa labda group hili halina uwezo wa kukabiliana na maradhi.
Nitafute nipate kukutibia Damu yako ipo chafu ndio maana unauguwa kila mara na ukipima maradhi hayaonekani.Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
No kundi la damu halihusiani na ulinxi wa mwiliHisia zangu ni kuwa labda group hili halina uwezo wa kukabiliana na maradhi.
Nimepata idea hapa kundi.hilo lina antibodies dhaifu hupelekea tatizo kama hilomkuu mimi nina AB+ magonjwa si kila mara sema mziki ni mafua tena makali mpaka homa, vumbi kidogo lazima niugue
CD4 zako zipo hoiNina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Hakuna blood group kama hili, duniani Labda AB not A+B na hapo inategemeana Rhesus yako ni positive ama negative.Dr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Blood groups kuna group A, B, AB(A+B)-bila shaka hii ndio aliyoimaanisha mtoa thread, na kuna group O(universal donor)Dr. Aliyenipima ndiye aliyebainisha uwepo wa blood group A+B ya damu kwenye mwili wangu
Yeah ndio iko vizuri hapoAB Rh positive au AB +ve
Acha upuuzi, muweke mwenzako sawa na sio kumcheka, ukimueleza vizur mbona ataelewa tu, kama angekubishia hapo sawa, umamluki sio mzuri umejenga mazoea, chekea vyote ila sio kumcheka mtu anayekuja kukueleza shida zake huku akiwa amekosea kitu fulani, muweke sawa tu then msaidie.Blood group A+B?????kwi!kwi!kwi!View attachment 686098
chukua vikaratasi viandike blood group A with rhesus factor R H+ af vimeze uvitafune!!!!!!!!!!!!!!Nina group la damu A+B yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.