Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baadai yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5Kivipi! na kwa mizigo ya aina gani? Hata kama ni simu au tablet? Wana calculate vipi?
aaah C6 nini hiki tena ndani thread isiyo husika.
Nataka kuagiza simu/tablet. Je nikikutana na FREE SHIPPING bado ntahitajika kuwalipa DHL, pesa nnayolipa kama ada ya shipping online huwa inakwenda wapi mpaka nihitajike kuwalipa tena DHL. Na nnapowalipa DHL huwa nnalipia shipping cost au kitu gani? Naomba mwongozo wenu.