Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
6,958
Reaction score
16,358
INTRODUCTION:-
Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA

Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii"

Twende kwenya mada ....

BODY:-
Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07.

Na hii ndio ratiba ya gambe ....

1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe, alongside njia ya kwenda Makunguru/Isanga.

2. 01/08 ndani ya City Garden ulikuwa ni mwendo wa Bapa na Kuku choma

3. 02/08 Kuna ka-pub fulani kipo nje ya Mbeya Pazuri. Mwamba sanaaa, mshikaji wangu hatari wa moja ya benki Mbeya aliniita. Angusha sanaaa serengeti litee za kutosha na mishkaki.

4. 03/08 Siku Ubaya Ubwela, saa 12 jioni nitakua Mbeya pazuri mpaka mida ya usiku unene. Wale twiga ile mbuga pale SAE (Mbeya Pazuri) pale ni nomaaa ...!!!

5. 04/08 Siku ya Wananchi nitakuwa Mbeya Pazuri, ni mwendo wa Biaaaaaa...!!!

6. 05/08 kuna mwamba sanaa kutoka moja wapo ya halmashauri Iringa anawasili, huyu mwana anapenda bar za uswazi. Tutaenda Nasoma kula biaaa

7. 06/08 Nitalala guest kwanza kufanya Factory setting.

8. 07/08 tunaenda kumpa kampani mwamba kafungua bar mitaa ya Simike...!!!

9. 08/08 Siku ya Derby, ni palepale Mbeya Pazuri tukazidandie zile twiga.

10. 09/08 si ndio siku ya mwisho.
Hii haina kulala, nikukesha kuzurura kila bar. Ikifika saa 1 asubuhi tunalifata gari lilipo tunaanza safari ya kurudi home.

CONCLUSION.
Ujana ndio huu
Per diem haijengi nyumba, ulipewa kuitumia.

Tuendelee kutafuta helaa..

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Already Done.

Hawa ndio vijana wanaotegemewa na Utawala wa CCM kwamba wataipeleka nchi hii katika kundi la nchi zilizoendelea na zenye uchumi mkubwa!!
 
Bosss Economics, Finance and Investment haihusiani chochote na kupiga bia.

Starehe muhimu sanaa.

Shusha basi financial statement ya Vodacom tuidiscuss..!!!

#YNWA
 
INTRODUCTION:-
Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA
Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii"

Twende kwenya mada ....

BODY:-
Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07.
Na hii ndio ratiba ya gambe ....

Already Done.
1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe, alongside njia ya kwenda Makunguru/Isanga.

2. 01/08 ndani ya City Garden ulikuwa ni mwendo wa Bapa na Kuku choma

3. 02/08 Kuna ka-pub fulani kipo nje ya Mbeya Pazuri. Mwamba sanaaa, mshikaji wangu hatari wa moja ya benki Mbeya aliniita. Angusha sanaaa serengeti litee za kutosha na mishkaki.

4. 03/08 Siku Ubaya Ubwela, saa 12 jioni nitakua Mbeya pazuri mpaka mida ya usiku unene. Wale twiga ile mbuga pale SAE (Mbeya Pazuri) pale ni nomaaa ...!!!

5. 04/08 Siku ya Wananchi nitakuwa Mbeya Pazuri, ni mwendo wa Biaaaaaa...!!!

6. 05/08 kuna mwamba sanaa kutoka moja wapo ya halmashauri Iringa anawasili, huyu mwana anapenda bar za uswazi. Tutaenda Nasoma kula biaaa

7. 06/08 Nitalala guest kwanza kufanya Factory setting.

8. 07/08 tunaenda kumpa kampani mwamba kafungua bar mitaa ya Simike...!!!

9. 08/08 Siku ya Derby, ni palepale Mbeya Pazuri tukazidandie zile twiga.

10. 09/08 si ndio siku ya mwisho.
Hii haina kulala, nikukesha kuzurura kila bar. Ikifika saa 1 asubuhi tunalifata gari lilipo tunaanza safari ya kurudi home.

CONCLUSION.
Ujana ndio huu
Per diem haijengi nyumba, ulipewa kuitumia.

Tuendelee kutafuta helaa..

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Huko ndio kwao Mwabukusi,!
 
na hakuna Investment yoyote ile iwe tangible au Non tangible itakayo fanyika kama hakuna element yoyote ya saving.
We save to invest.

Ila acheni kula makande kisa mnajenga makwenu.

#YNWA
 
Sijaona ukiweka walau hata ratiba moja Mbeya Dc hivyo nichukue fursa hii kukuomba ikiwa utawiwa funga safari mpaka umalila ,nitakupokea na mengine nitahusika hakika utafurahia kuwaona wamalila wakati wa kiangazi na fujo za gambe za kila aina .
Karibu sana
1722703772924.jpg

Karibu MBEYA PAZURI
Kulala saa nane au tisa usiku.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
INTRODUCTION:-
Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA
Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii"

Twende kwenya mada ....

BODY:-
Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07.
Na hii ndio ratiba ya gambe ....

Already Done.
1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe, alongside njia ya kwenda Makunguru/Isanga.

2. 01/08 ndani ya City Garden ulikuwa ni mwendo wa Bapa na Kuku choma

3. 02/08 Kuna ka-pub fulani kipo nje ya Mbeya Pazuri. Mwamba sanaaa, mshikaji wangu hatari wa moja ya benki Mbeya aliniita. Angusha sanaaa serengeti litee za kutosha na mishkaki.

4. 03/08 Siku Ubaya Ubwela, saa 12 jioni nitakua Mbeya pazuri mpaka mida ya usiku unene. Wale twiga ile mbuga pale SAE (Mbeya Pazuri) pale ni nomaaa ...!!!

5. 04/08 Siku ya Wananchi nitakuwa Mbeya Pazuri, ni mwendo wa Biaaaaaa...!!!

6. 05/08 kuna mwamba sanaa kutoka moja wapo ya halmashauri Iringa anawasili, huyu mwana anapenda bar za uswazi. Tutaenda Nasoma kula biaaa

7. 06/08 Nitalala guest kwanza kufanya Factory setting.

8. 07/08 tunaenda kumpa kampani mwamba kafungua bar mitaa ya Simike...!!!

9. 08/08 Siku ya Derby, ni palepale Mbeya Pazuri tukazidandie zile twiga.

10. 09/08 si ndio siku ya mwisho.
Hii haina kulala, nikukesha kuzurura kila bar. Ikifika saa 1 asubuhi tunalifata gari lilipo tunaanza safari ya kurudi home.

CONCLUSION.
Ujana ndio huu
Per diem haijengi nyumba, ulipewa kuitumia.

Tuendelee kutafuta helaa..

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nilivosikia bata la 88 nimekimbia chap🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Kula bia ila usisahau kula nyapu, mwanaume kula nyapu is your natural calling. Mwanaume unatakiwa ukilala ukiamka uwe unawaza nyapu kwanza kabla ya vitu vingine vyote.
 
Dah ila kuna kitu kidoogo nimenote hapa toka kwa huyu bwana liver pool VPN,thatz why jamaa ndoa na biashara vimemshinda😅😅hebu imagine mtu anakunywa pombe week kweli,huyu si anapata hangover ya mwezi wakuu🤣
 
Back
Top Bottom